Ubungo Songas engine no. 3 inawaka moto

Updated first post:

Ni kweli moto ulitokea mwendo wa saa 9 kasoro lakini ulidhibitiwa kabla hali haijawa mbaya. No serious damages
Hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa TANESCO
zile mashine zina standby autamatic fire extinguishers cylinders jama 16 kwa kila machine ambazo kama zikipata alert signalzinarelease valves kuzuia moto usisambae..hicho ndicho kilichotokea,tushukuru maana ingekuwa janga kubwa sana
 
Habari za uhakika>
Wakuu ni kweli moto ulitokea katika engine hiyo kama ilivyoelezwa hapo awali na ulidhibitiwa na wafanyakazi wa zamu. Suala hili si dogo kama linavyofikirika kwani hadi sasa mtambo huo wenye uwezo wa kuzalisha 40MW umezimwa na wahandisi wa kampuni hiyo wanaendelea kufanya uchunguzi wa kina kujua chanzo ili kuweza kutatua tatizo hilo. Yote yanawezekana, huenda ikachukua muda mfupi au mrefu kwa mtambo huu kurudi kwenye operations lakini kwa sasa umezimwa. Hii itazidisha athari za mgawo wa umeme. Nitaendelea kuwajuza.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom