Ubungo, Mabibo, Mburahati, Manzese hakuna maji siku zaidi ya tano sasa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,520
86,081
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.

Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa siku, unashindwa hata kupampu maji ya kizima.

Cha ajabu, kuna "Simblisi" ziko mahali zinajiandaa kusherehekea miaka 40+ ya chama kibovu namna hii.

Hii nchi haiishi vituko kila siku.

Ni udhihirisho kuwa hakuna mifumo inayofanya kazi. Siku 5 hakuna suluhisho kwa tatizo dogo lisilohitaji complez technology, je yakija makubwa, si tutaishi nayo milele?
mi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika
 
Maeneo tajwa hayana maji kwa zaidi ya siku tano sasa, Wahusika wako kimyaaa, jana nimewaona Watendaji WA Dawasco wako kwenye Bajaj wanazunguka Tu. Hii Hali ni hatari, kipindupindu kiko nje nje, mahotel mengi Sana hapa Manzese hayana maji.

Umeme NAO unakatwa kwa zaidi ya masaa SITA Hadi 12 kwa siku, unashindwa hata kupampu maji ya kizima.

Cha ajabu, kuna "Simblisi" ziko mahali zinajiandaa kusherehekea miaka 40+ ya chama kibovu namna hii.

Hii nchi haiishi vituko kila siku.

View attachment 2897528
Usichanganye siasa na changamoto mliyo nayo huko ulikokutaja. CCM kusherehekea miaka 47 hakuna uhusiano na changamoto iliyopo. Ni sawa na we kusherehekea siku yako ya kuzaliwa ingali una changamoto. Km ni siasa elekea upande huo usichanganye mambo.
 
mi-CCM iko kimyaaa utadhani CHADEMA ndio wanahusika
Nafikir mambo mengine japo ccm inahusika lakin yako attached sana na utendaji na watemdaji wa serikali katika taass husika. Taasis ambazo ni za kiraia zisizobagua vyama, yan huko tuko mimi na wewe.
 
Back
Top Bottom