Ubaguzi waitafuna CHADEMA. Salum Mwalimu alisukiwa Zengwe aukose ukatibu mkuu

20160422_044447.jpg

Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.

Kumbe ndio maana mnakula funza wakati wa kiangazi, hamfanyi kazi zaidi ya kukifurahisha chama mpate mlo wa siku moja. Mtaendelea hivyo hivyo singidadodoma
 
sitowasahau jinsi mlivyomtukana Kikwete humu kuwa ni mdini pale ilipotokea katika teuzi zake akawepo muislam japo zaidi ya 75% ya teuzi zake walikuwa wakirsto. nyie ni wapumbavu tu abadan.

JK aliwahi kuchagua hivyo kweli! Kama kweli ilitokea basi alikuwa mgonjwa. Anyway, sidhani kama hiyo ni shida, inaelekea wengine bila kuteuliwa mahali maisha hayaendi, kujiongeza inakuwa tabu
 
20160422_044447.jpg

Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Katumika huyo, sasa nigarasha. Chezea chagadema wewe!
 
Mnahangaika na gazet hili. Hili ni zaid ya uhuru kama mlikua hamjui!! Fuatilien makala zake kila likitoka !! Linadili na wapinzan kwa 90% ndio malengo ya mwenye nalo!!
 
Hili gazeti linafahamika mlengo wake...hvyo nilakulipuuza tu...alafu nyie mnaotishia kwenda Act c muondoke tu...acheni kuitishia chadema nyau....kwn Act -wazalendo ni sawa na simba wa kuchorwa tu.....nyambafu zenu
 
Niljua na haitatokea kwa CDM kumpa mtu mwenye jina kama la Salum nafasi ya ukatibu mkuu...fact
 
kuangalia waislam tuu umeanza kuntisha, hiv idad ya wana chadema waislam mna ijua!!?, taratib za chadema kumpata katib mkuu mna zijua!!? Salum si kabak na kazi yake ya unaibu -zanzibar, hizo ni fitna kupitia udini tuu
Mshindwe na mlegee
 
Ni kweli Chadema kuna ubaguzi sana sana sans, ni kweli huyo mzanzibari alitosha kabisa Kuwa katibu Mkuu wala huyo Daktari wao hamfikii Kwa lolote. Hiki chasms kina ships Kubwa. Mbona hamlisemei swallow la Viti Maalumu, udiwsni Jimbo la Kawe ni Ainu Kubwa Halima Mdee alituhusiww kukata marina ya wagombee halali Na washindi akiruhusiwa na mbowe kufanya atakalo, Martha aliyekua Msaidizi wake Leo. Kale was udiwsni Hana hata Elimu ya msingi still wakina NAsra Mwanasheria Mzima aka he's, Caro sliyehonga Gari Na Kupanga zero kwenye Kura Za Maoni Leo Diwani Kwa Kuwa anambebea Halima pochi. Suburb 2020 wataisoma Namba wote tumeehshamia ACT, Chadema Ndio wanaoua upinzani najitia kuwapisha support.
Edit post yako,ina makosa mengi sana ya spelling, haieleweki!
 
Hili jarida la "MKAKATI" kama halimilikiwi na chama basi litakuwa linamilikiwa na kada. Maana kila linapotoka, jarida lote linajaa kama si habari za Lowasa basi ni habari za CHADEMA. Halafu kuna pia lile jarida jingine la "DIRA" nalo kuanzia front page mpaka mwisho ni habari za Lowasa tu, JK yupo China toka juzi majarida yameshindwa kweli kumtengenezea Lead Story?
Mkakati ni gazeti dada kwa Tazama Tanzania. Wakati niko chuo 2010 nilikuwa napiga "tempo" pale. Ofisi zao zilikuwa Usangi house pale Manzese. Ni gazeti la kada wa chama
 
Ni kweli Chadema kuna ubaguzi sana sana sans, ni kweli huyo mzanzibari alitosha kabisa Kuwa katibu Mkuu wala huyo Daktari wao hamfikii Kwa lolote. Hiki chasms kina ships Kubwa. Mbona hamlisemei swallow la Viti Maalumu, udiwsni Jimbo la Kawe ni Ainu Kubwa Halima Mdee alituhusiww kukata marina ya wagombee halali Na washindi akiruhusiwa na mbowe kufanya atakalo, Martha aliyekua Msaidizi wake Leo. Kale was udiwsni Hana hata Elimu ya msingi still wakina NAsra Mwanasheria Mzima aka he's, Caro sliyehonga Gari Na Kupanga zero kwenye Kura Za Maoni Leo Diwani Kwa Kuwa anambebea Halima pochi. Suburb 2020 wataisoma Namba wote tumeehshamia ACT, Chadema Ndio wanaoua upinzani najitia kuwapisha support.
Ata uhamie ccm chadema bado ndio chama cha upinzani Na kawe litaendelea kuwa jimbo la upinzani pole sana kwa kukosa udiwani viongozi Wa kugombania madaraka ni wabaya sana katika chama
 
20160422_044447.jpg

Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Salum Mwalimu bado kijana mdogo sana kuwa katibu mkuu Chadema Ukizingatia kwenye siasa ndio kwaanza kaingia karibu kabisa na uchaguzi uliopita. Acheni mihemko mtaolewa
 
Hivi wewe huwa huna lingine unalolijua zaidi ya habari hadi za Chadema? au sofa kwa Magufuli? Nimejaribu kufungua thread zako na karibu zote ni za mrengo humo tuu kama vile JF ni jarida la propaganda za vyama!
Huwezi kujadili mambo mengine kama ajira kwa Vijana, masuala ya elimu, uchumi au hata kujadili ukimwi? Saver ya JF mpaka inakuwa slow kwa kujazwa mambo yasiyo faida, huoni aibu ndani ya nyumba ya great thinkers? Jaribu kujikita kwenye mambo mengine basi yenye faida kwa taifa la sasa na kesho.
Wapo Vijana wetu vyuoni walikuwa wakipata nafasi kidogo wanaingia JF kwa ajili ya kujifunza moja mbili lakini toka ujiunge wewe na wenzako pameharibika kwa kujaza mambo yasiyo maana
Huyu mtu ni mpuuzi wa kutupwa hana wazo original hata siku moja zaidi ya kutundika vijarida vya kichochoroni
Akili mgando
 
Chadema ni mabingwa wa maigizo na igizo lao LA karne lilikuwa LA kumkaribisha lowasa ndani ya wiki moja na kumpa upeperushaji bendera ya chagadema ili awe mgombea urais hahahaha ili hali wapi walioitumikia chadema zaidi ya miaka kumi na lowasa aliitumikia chadema kwa Siku 29 TU ahahhaa
 
Back
Top Bottom