Ubaguzi waitafuna CHADEMA. Salum Mwalimu alisukiwa Zengwe aukose ukatibu mkuu

20160422_044447.jpg

Maoni yangu
Mwalimu alitumika kama geresha tu ili kuwapumbaza waislam, baada ya kelele za muda mrefu za kuwa chadema ni chama cha kikanda na kidini, sasa yanaanza kudhihirika moja baada ya jingine.
Udini Udini hauna tija zama hii tunafocus kwenye mambo yenye tija unaleta Udini! Aibu yenu.
 
Hili gazeti linamilikiwa na kada wa ACT, Lakini pia Mwalimu siyo muislam pekee CHADEMA ni ni majuha pekee wanaweza kulikomalia hili kama suala la Udini, ni wajinga pekee yao kama mizimu na mazombi wa CCM bwana mdogo wao ACT. Tujifunze kufikiri na siyo kuwaza ndiyo maana hata hamuendelei kwa kuwasemea wanaume kana kwamba mnataka............... Tuijenge Nchi sote bila kuachana na kurudishana nyuma, upinzani kuweni pamoja.
 
Huyo kijana nilimuasa siku nyingi kupitia hii hii JF, kuwa hao wachaga wanakutumia tu, wakimaliza shida yao wanakuita msaliti.

Hajanielewa, sasa kiranga komo.
 
Ka
Ni kweli Chadema kuna ubaguzi sana sana sans, ni kweli huyo mzanzibari alitosha kabisa Kuwa katibu Mkuu wala huyo Daktari wao hamfikii Kwa lolote. Hiki chasms kina ships Kubwa. Mbona hamlisemei swallow la Viti Maalumu, udiwsni Jimbo la Kawe ni Ainu Kubwa Halima Mdee alituhusiww kukata marina ya wagombee halali Na washindi akiruhusiwa na mbowe kufanya atakalo, Martha aliyekua Msaidizi wake Leo. Kale was udiwsni Hana hata Elimu ya msingi still wakina NAsra Mwanasheria Mzima aka he's, Caro sliyehonga Gari Na Kupanga zero kwenye Kura Za Maoni Leo Diwani Kwa Kuwa anambebea Halima pochi. Suburb 2020 wataisoma Namba wote tumeehshamia ACT, Chadema Ndio wanaoua upinzani najitia kuwapisha support.
Kama huyu unakuta Naye eti ni graduate!!! Aaagh!!
 
Huyo kijana nilimuasa siku nyingi kupitia hii hii JF, kuwa hao wachaga wanakutumia tu, wakimaliza shida yao wanakuita msaliti.

Hajanielewa, sasa kiranga komo.
Haya Mamaa unafurahisha siku moja moja ila Tukianza mijadala ya kidini HATARI TUPU.Chaggaema wana URAFIKI Na PESA Tu.
 
Hili jarida la "MKAKATI" kama halimilikiwi na chama basi litakuwa linamilikiwa na kada. Maana kila linapotoka, jarida lote linajaa kama si habari za Lowasa basi ni habari za CHADEMA. Halafu kuna pia lile jarida jingine la "DIRA" nalo kuanzia front page mpaka mwisho ni habari za Lowasa tu, JK yupo China toka juzi majarida yameshindwa kweli kumtengenezea Lead Story?
Jk hana mvuto
 
Huyo kijana nilimuasa siku nyingi kupitia hii hii JF, kuwa hao wachaga wanakutumia tu, wakimaliza shida yao wanakuita msaliti.

Hajanielewa, sasa kiranga komo.
Wewe mbona ulitumiwa na kutupwa kwenye pipa la takataka kama ganda la muwa?kweli nimeamini kuwa nyani haoni kundule
 
Kutoa yote hayo Salim mwalim ndio walikuwa right candidate Kwa hyo position..
 
Ni kweli Chadema kuna ubaguzi sana sana sans, ni kweli huyo mzanzibari alitosha kabisa Kuwa katibu Mkuu wala huyo Daktari wao hamfikii Kwa lolote. Hiki chasms kina ships Kubwa. Mbona hamlisemei swallow la Viti Maalumu, udiwsni Jimbo la Kawe ni Ainu Kubwa Halima Mdee alituhusiww kukata marina ya wagombee halali Na washindi akiruhusiwa na mbowe kufanya atakalo, Martha aliyekua Msaidizi wake Leo. Kale was udiwsni Hana hata Elimu ya msingi still wakina NAsra Mwanasheria Mzima aka he's, Caro sliyehonga Gari Na Kupanga zero kwenye Kura Za Maoni Leo Diwani Kwa Kuwa anambebea Halima pochi. Suburb 2020 wataisoma Namba wote tumeehshamia ACT, Chadema Ndio wanaoua upinzani najitia kuwapisha support.
Sio Dr Slaa tena. Huko ndio kufilisika hoja
 
Sijui ni kwa nini mnapenda udini kiasi hiki! Dr. Dau kutolewa NSSF nayo nongwa ati mwislamu. Wakristu wanapotolewa au kuachwa sehemu ni sawa kosa tuguswe waislamu! Hatujengi
sitowasahau jinsi mlivyomtukana Kikwete humu kuwa ni mdini pale ilipotokea katika teuzi zake akawepo muislam japo zaidi ya 75% ya teuzi zake walikuwa wakirsto. nyie ni wapumbavu tu abadan.
 
CHADEMA NI JIPU TAMBAZI KWA UBAGUZI WA KIDINI NA KIKANDA, TUTALITUMBUA NA KULITOKOMEZA KABISA 2020
 
Back
Top Bottom