Ubaguzi au Maslahi Kisiasa?

Point nzuri sana, kama wote si wapenzi wa chadema, vipi mmoja aenziwe mmoja asahauliwe? hapo sasa!

Inahitaji uwe na akili kidogo na dhamira ya kunielewa ndio utanielewa.

Muuza magazeti aliangukiwa na 'flying object' 300m kutoka kwenye maandamano.

Mwangosi alikuwa kwenye kazi inayoihusu CDM.

Pamoja na hayo, kila msiba una uzito wake. Akifa mtoto si sawa na akifa mtu mzima. Wengi tulimjua Mwangosi hata kabla hamjamuua, lkn nani alimjua Singano mpk uwalinganishe? Mwangosi ni IMAGE ya jamii na kazi aliyokuwa anaifanya haipaswi kupuuzwa na mtu mwenye akili timamu.

Kinachokufanya ubwabwaje utumbo ni shilingi 2800 za Nape ulizochukua advance. Umekosa cha kukosoa sasa unabangaiza, eti? Kweli hela ngumu
 
Iwe flying object au crawling object. Kifo ni kifo na vyote vimetokea wakati wa harakati za chadema na vyote vimehusishwa na polisi, vipi kimoja kipewe umuhimu na kutukuzwa na maandamano na michango na viongozi wa chadema wagombee kwenda kuzika na kimoja kisahauliwe, ubaguzi au maslahi ya kisiasa?
 
Haya, tukubali ni ubaguzi. Mwingine alikuwa Muislamu na mwingine Mkristo. Si ndicho hicho ulichotaka kusikia, eeh?
Udini unawapeleka pabaya.

Yupi alikuwa Muislaam yupi Mkristo?

Kwanini isiwe mmoja mlalahoi mmoja mlalahai?
 
Kwanini waling'ang'ania? Kwa sababu Mwangosi is more of a public figure na ni rahisi kumtumia kipropaganda.Usitake kuleta stories za makande kaka huo ndiyo ukweli. It's a shame kumtumia marehemu kisiasa.
Daudi mkristo na Alli mwislamu!.
 
Akili kichwani...Umesahau similarity moja kwamba katika mazishi yote CHADEMA walikataliwa kushiriki. Kwa Singano wakapotezea kwa Mwangosi wakang'ang'ania mpaka wakashiriki.
Kwa Daudi (wakristo walienda) na kwa Singano (waislamu walienda). SISIEMU WALIKUBALIWA KWENDA KOTE kwa sababu wao sio wadini tangu jk alipoingia madarakani na safu ya makamu rais, katibu mkuu wa sisiemu, kampeni meneja na wengine wengi waislamu!...
 
Both ... mkuu Zomba mim nashangaa sana viongozi wa CDM wa kitaifa wanavyoligeuza suala la kifo cha Mwangosi kuwa ni suala la kisiasa na kuacha suala la muuza magazeti kuwa ni suala la kiutendaji. Huu ni mchezo mbovu wa wanasiasa na wanaoumia ni walalahoi.By the way, Dr. Slaa alipata wapi cell number ya IGP mpaka akamwandikia text? .... Ask yourself.
Cell phone number alipewa na Zomba na kushauriwa na ze marcopolo!. Daudi ni mchaga kwanini wasiende?... Ninyi mlienda au na ninyi mnapiga porojo na kumwaga pumba jamvini?.
 
Katika Mikoa tofauti na hekaheka za kisiasa za CHADEMA kumetokea vifo viwili ambavyo vyote vimehusishwa na Polisi kwanjia moja nyingine.Vifo hivyo ni vya watu wenye fani zinazotegemeana, mmoja ni Mwandishi wa habari za magazetini na mmoja ni muuza magazeti. Wote hao ni wadau wakuu wa magazeti na wote hao ni wapenzi wa Chadema.Cha kushangaza ni pale tunapoona mmoja kapata kila aina ya huruma kuanzia viongozi wa chadema mpaka wanaharakati wa hakiza binaada na "exposure" iliyotukuka kwenye TV, magazeti, maandamano, wana harakati, michango ya maziko, michango kwa aliowaacha, ahadi za kutazamwa familia yake na hata kusomeshwa wanawe na mwingine akisahauliwa kabisa.Tumeona maziko ya mmoja ya kiongozwa na Viongozi wa Kitaifa wa chadema na kurushwa kwenye magazeti na kwenye mitandao, mwengine yule sijui hata kama alijulikana kazikwa wapi.Watu hao ni:Ally Singano - Muuza MagazetiDaudi Mwangosi- Mwandishi wa magazeti.Jee, ni Ubaguzi au Maslahi ya Kisiasa?
Nasikia harufu ya udini tuuu! ngoja ni ujibu!... huu ni Ubaguzi wa kidini. Watu hao ni:Ally Singano - MwislamuDaudi Mwangosi- Mkristo.
 
Point nzuri sana, kama wote si wapenzi wa chadema, vipi mmoja aenziwe mmoja asahauliwe? hapo sasa!
Yawezekana una pointi lakini pia umejiuliza kwa nini moja aundiwe tume na mwingine asahauliwe? Kwa nini kwa Mwangosi muuaji mkuu Saidi Mwema hakuweza kutulia ofisini na kwa Chona hakuweza hata kunyanyuka kitini? Kwa nini kwa Mwangosi tayari mtu kafikishwa mahakamani chini ya ulinzi mkali wa polisi na kwa Chona mmh! Kama ni Chadema ndio wamewezesha viti vya wauaji kuwa vya moto hata washindwe kuvikalia hadi Raisi anaikimbia nchi, basi Chadema kweli inatisha.
 
Nakushangaa kuwa hujui wote wameundiwa tume, soma hapa: Tume kuchunguza kifo Chadema

Hivi kupotosha kunawasaidia nini?

Ni ubaguzi au maslahi ya kisiasa?
 
Kwa kweli inasikitisha sana kama Dokta Slaa alivamia msiba wa muandishi wa habari na kuzika kwa nguvu mpaka kuweka shahada la maua, kwa nini akung'ang'ania kwenda Tanga kumzika muuza magazeti ambaye ni kada wa Chadema.
 
Nimewanya pombe ya udini ni mbaya kuliko hata bange oneni mlivyo jinyea na kujikojolea mbela ya watoto wenu. Mleta mada amekuwa kila siku akijinyea hovyo hapa jf na huko mitaani lakini hakomi sasa kaamua awaletee na nyinyi hapa mmwage radhi. CHONDE CHONDE POMBE NI NOUMA ACHENI UDINI.
 
Iwe flying object au crawling object. Kifo ni kifo na vyote vimetokea wakati wa harakati za chadema na vyote vimehusishwa na polisi, vipi kimoja kipewe umuhimu na kutukuzwa na maandamano na michango na viongozi wa chadema wagombee kwenda kuzika na kimoja kisahauliwe, ubaguzi au maslahi ya kisiasa?

Hapa ndio mnapomlaumu Ndalichako wakati akili zenu ndio hizi. Hivi si nimeshakwambia kuwa hakuna ulinganifu wa misiba ya mtoto na mtu mzima? Au mwanzo nilikuwa naongea na nani?

Ngoja nikupe mfano ndugu yangu uliye na kichwa kigumu kama uko kwenye mhadhara; Juzi ameuawa Balozi wa Marekani huko Benghazi. Pamoja naye wamekufa watu wa3 wote wamarekani ambao ni wafanyakazi wa ubalozi. Ukiziangalia habari katika vyombo vingi vya habari, mazungumzo yanamlenga zaidi balozi na si wale waamerika wengine aliokufa nao. Hili halishangazi hata kidogo.

Labda na mimi nikuulize kijinga kijinga kama wewe unavyouliza: Kwa nini Kikwete alikwenda kwenye msiba wa Kanumba na serikali ikatoa 15m kama rambi rambi ilhali haikufanya hivyo alivyokufa TX Moshi William? Zingatia wote ni wasanii na wote ni Watanzania

Tumiaga akili yako angalau mara moja kwa mwaka, otherwise itavunda zaidi. Hata kama umetumwa, basi tumika kwa busara
 
Labda niulize pia.

1.Kwanini waandishi wa habari walivo andamana walikua wanapinga kifo cha mwangosi
peke yake na sio cha muuza magazeti?ni kwa maslahi ya HABARI AU?

2.kwanini wauza magazeti hawaja andamana hadi leo kupinga mwenzao kuuliwa?
ni kwa maslahi ya KIBIASHARA AU?

3.Kwanini yule mhudhuriaji MAARUFU WA MAZISHI haja hudhuria wala kutoa pole
kwa chochote kati ya vifo hivyo?
ni kwamba HAJALI TASNIA YA HABARI AU?

Tafakari,chukua hatua.
 
Hapa ndio mnapomlaumu Ndalichako wakati akili zenu ndio hizi. Hivi si nimeshakwambia kuwa hakuna ulinganifu wa misiba ya mtoto na mtu mzima? Au mwanzo nilikuwa naongea na nani?

Ngoja nikupe mfano ndugu yangu uliye na kichwa kigumu kama uko kwenye mhadhara; Juzi ameuawa Balozi wa Marekani huko Benghazi. Pamoja naye wamekufa watu wa3 wote wamarekani ambao ni wafanyakazi wa ubalozi. Ukiziangalia habari katika vyombo vingi vya habari, mazungumzo yanamlenga zaidi balozi na si wale waamerika wengine aliokufa nao. Hili halishangazi hata kidogo.

Labda na mimi nikuulize kijinga kijinga kama wewe unavyouliza: Kwa nini Kikwete alikwenda kwenye msiba wa Kanumba na serikali ikatoa 15m kama rambi rambi ilhali haikufanya hivyo alivyokufa TX Moshi William? Zingatia wote ni wasanii na wote ni Watanzania

Tumiaga akili yako angalau mara moja kwa mwaka, otherwise itavunda zaidi. Hata kama umetumwa, basi tumika kwa busara

Asante sanaaa.
 
Kwa kuwa Jakaya Mrisho Kikwete hakufanya ndio chadema hawafanyi? sijajuwa kama chadema huwa mnamuiga Jakaya Mrisho Kikwete.

Inasikitisha sana wanasiasa wanaojidai wako kwa Watanzania wote wanapohamasisha fujo halafu wanafanya ubaguzi na kutazama maslahi ya kisiasa zaidi. Hii ya Ally na Daudi ni igezo tosha cha kuelewa kuwa uongozi wa chadema hauna zaidi ya unafik wa kisiasa. Haujali maslahi ya mtu, unajali maslahi yao kwanza. Ndio maana juzi Zitto alisema:

"kuna waliojali status quo, wakaendeleza kazi kujenga maisha yao kwanza na kisha kutufuata" - Zitto
Source: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...o-ya-kukosekana-kwenye-m4c-7.html#post4609730
 
Akili yako ni mzigo mkuu. Nimeuliza swali hilo ili uone kuwa kila kitu huwa kina uzito wake. Ulivyo mwepesi na mbumbumbu, umekimbilia kujibu huu mmoja wa Kikwete na kujifanya huoni niliyokuandikia kuhusu Benghazi.

Ally hakuwa maarufu kama Mwangosi. Hata huko Tanga utakubaliana na mimi hakukufurika ndugu na jamaa wengi kama ambavyo ilitukia Mbeya.

Ukiwa na akili angalau kidogo, utabaini pia kitu kilichovuta hisia za watu na kuleta mshtuko zaidi ni mazingira ya kifo na umaarufu wa marehemu.

Baba wa Taifa alipofariki, (May God rest him in peace) vyombo vya habari vya ndani na nje vilikatisha matangazo ya kawaida na kurusha hewani picha za matukio ya mazishi. Sidhani kama u mwehu wa kutegemea akifa mama yako unataraji attention hiyo hiyo.

Wewe umelelewa kwenye ndoa ya mitala ndio unadhani kila kitu kinafanyiwa comparison. Usipende kusumbua vichwa vya watu na mambo yako ya kiswahili. Wangapi walimjua Ally Singano kabla ya tukio mpk umlinganishe na Daudi Mwangosi ambaye yupo na wanasiasa na polisi kila kukicha?

Tumia akili yako mkuu. Nape anakutuma kazi ngumu kuliko uwezo wako
 
Back
Top Bottom