acha udini wewe kiumbe ... huu ni udhaifu mkubwa sana unaotokana na malezi .. mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
hata watoto wako na wajukuu wako watakuwa wadini ...
what a silly thread
Sidhani kama kuna dini mleta huu uzi kajikita zaidi kwenye maslahi ya kisiasa.
Zee zima hovyoo! Mwangosi alikuwa mwandishi na mwakilishi wa TV - chanel ten na sio magazeti. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nyau we!Katika Mikoa tofauti na hekaheka za kisiasa za CHADEMA kumetokea vifo viwili ambavyo vyote vimehusishwa na Polisi kwanjia moja nyingine.
Vifo hivyo ni vya watu wenye fani zinazotegemeana, mmoja ni Mwandishi wa habari za magazetini na mmoja ni muuza magazeti. Wote hao ni wadau wakuu wa magazeti na wote hao ni wapenzi wa Chadema.
Cha kushangaza ni pale tunapoona mmoja kapata kila aina ya huruma kuanzia viongozi wa chadema mpaka wanaharakati wa hakiza binaada na "exposure" iliyotukuka kwenye TV, magazeti, maandamano, wana harakati, michango ya maziko, michango kwa aliowaacha, ahadi za kutazamwa familia yake na hata kusomeshwa wanawe na mwingine akisahauliwa kabisa.
Tumeona maziko ya mmoja ya kiongozwa na Viongozi wa Kitaifa wa chadema na kurushwa kwenye magazeti na kwenye mitandao, mwengine yule sijui hata kama alijulikana kazikwa wapi.
Watu hao ni:
Ally Singano - Muuza Magazeti
Daudi Mwangosi- Mwandishi wa magazeti.
Jee, ni Ubaguzi au Maslahi ya Kisiasa?
Zee zima hovyoo! Mwangosi alikuwa mwandishi na mwakilishi wa TV - chanel ten na sio magazeti. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nyau we!
Zee zima hovyoo! Mwangosi alikuwa mwandishi na mwakilishi wa wa TV - chanel ten na sio magazeti. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nyau we!
Mwakilishi wa cnnel 10 haimaanishi siyo mwandishi wa magazeti. Daudi ni Mwandishi wa magazeti, kama hujui uliza usikurupuke.
Katika Mikoa tofauti na hekaheka za kisiasa za CHADEMA kumetokea vifo viwili ambavyo vyote vimehusishwa na Polisi kwanjia moja nyingine.
Vifo hivyo ni vya watu wenye fani zinazotegemeana, mmoja ni Mwandishi wa habari za magazetini na mmoja ni muuza magazeti. Wote hao ni wadau wakuu wa magazeti na wote hao ni wapenzi wa Chadema.
Watu hao ni:
Ally Singano - Muuza Magazeti
Daudi Mwangosi- Mwandishi wa magazeti.
Jee, ni Ubaguzi au Maslahi ya Kisiasa?
Bwana ZOMBA, jaribu kutumia akili yako hata kidogo.
Hapo kwenye RED nakushauri uache ujinga. Mwangosi si MPENZI WA CHADEMA. Kuwepo kwake kwenye mkutano wa CHADEMA ni katika kutimiza majukumu yake ya UANDISHI WA HABARI.
Ally Singano hakuwa kwenye mkutano. Kwa mujibu wa Policcm, aliangukiwa na 'flying object' mita 300 kutoka maandamano yalipokuwepo. Unafiki na kusda mbaya zinakufanya unakuwa mtungaji kiasi cha kulazimisha kuwa Ally Singano ni mpenzi wa CDM so as Mwangosi.
Kuhusu maslahi ya kisiasa, what is wrong if the answer is YES? CDM is a political party. We are doing politics. Kama hujui siasa hutajua maana yake. Shida ni kwamba, hukuwa na mchango wa ku-address kwenye mada kuu sasa unatafutatafuta kajineno angalau ka kuipaka matope CDM ili usawazishe midhambi ya polisi wenu.
Katika Mikoa tofauti na hekaheka za kisiasa za CHADEMA kumetokea vifo viwili ambavyo vyote vimehusishwa na Polisi kwanjia moja nyingine.
Vifo hivyo ni vya watu wenye fani zinazotegemeana, mmoja ni Mwandishi wa habari za magazetini na mmoja ni muuza magazeti. Wote hao ni wadau wakuu wa magazeti na wote hao ni wapenzi wa Chadema.
Cha kushangaza ni pale tunapoona mmoja kapata kila aina ya huruma kuanzia viongozi wa chadema mpaka wanaharakati wa hakiza binaada na "exposure" iliyotukuka kwenye TV, magazeti, maandamano, wana harakati, michango ya maziko, michango kwa aliowaacha, ahadi za kutazamwa familia yake na hata kusomeshwa wanawe na mwingine akisahauliwa kabisa.
Tumeona maziko ya mmoja ya kiongozwa na Viongozi wa Kitaifa wa chadema na kurushwa kwenye magazeti na kwenye mitandao, mwengine yule sijui hata kama alijulikana kazikwa wapi.
Watu hao ni:
Ally Singano - Muuza Magazeti
Daudi Mwangosi- Mwandishi wa magazeti.
Jee, ni Ubaguzi au Maslahi ya Kisiasa?
Mwangosi was a journalist ... RIP
Noun: |
| |
Synonyms: | magazine - diary - newspaper - periodical - paper |
Nakubaliana na unachosema, ndio maana RPC alipofika kwenye tukio alisema "hapa hakuna kiongozi wa kitaifa, wale watoto siyo viongozi wa kitaifa". Ukijiuliza RPC alijuaje nani yupo na nani hayupo wakati milango ya ofisi za CDM ilikuwa imefungwa?!