ASIKARI
Member
- Oct 17, 2012
- 92
- 19
Ni chuo kilicho na ukiritimba,wizi wa fedha katika serikali ya wanafunzi na pia ni chuo kinacho ongozwa kwa ubabe wa MAKAMO MKUU WA CHUO TAALUMA Mr ZILIONA. Chuo hiki kimekuwa kikitafuna fedha ya serikali ya waanafunzi, hakitoi taarifa ya matumizi katika bunge la wanafunzi...sasa mbaya zaidi ni baadhi ya sheria zisizo na miguu wala kichwa kama WAKINA DADA KUTO SUKA WI ING nk. Chuo kimekuwa kikitunga na kuweka sheria bila kupitishwa katika bunge la wanafunzi.