Ilikuwa udaku tu, Lowassa hawezi kuhama CCM. Atakuwa mgombea urais wa CCM 2015.Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu

Nahisi hiyo thread atakuwa aliandika Lowasa mwenyewe kupima upepo watu watabwabwaja vipi.Jamaa mzushi nini au alitumwa kusoma upepo?
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama
huyu mzee kunakipindi aliita waandishi kwake eti anataka kutoa neno - akaishia kusema ajira bomu la masaa , wakati si tulikuwa tunajua anajivua gamba. hata leo akitoka ataishia kusema swaga zile zile tulizozizoea
Kumbe na wewe ulikuwa customer wa uwanja wa Fisi Manzese!!....kwi kwii kwiii umeooonaaaa eeehhh mpwa umenikumbusha mambo ya saa nne tandale inapiga hivi sasa ni saa mbili kamili kama nakuona ulivyo hoi na glass zetu