Uamuzi mzitoo wa Lowassa leo umeishia wapi??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama
 
Ilikuwa udaku tu, Lowassa hawezi kuhama CCM. Atakuwa mgombea urais wa CCM 2015.
 
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama

Tuwaite Pdidy.........ahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
tuwaite pdidy.........ahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa

kwi kwii kwiii umeooonaaaa eeehhh mpwa umenikumbusha mambo ya saa nne tandale inapiga hivi sasa ni saa mbili kamili kama nakuona ulivyo hoi na glass zetu
 
anaharibu pozi za watu , sio fresh kama threed unauhakika nayo usiitoe kwa watu

Hawa tuwaite poyoyo hahahahahahaaaaaaaa
 
inawezekana mwandishi wa thread hiyo alitaka naye ajulikane/kupata umaarufu kupitia EL
 
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama

Ni mhuni.
 
no kuna jamaa mmoja ambaye ni mfuasi wa gamba ameniambia MZEE atatoa neno ndani ya siku 10 zijazo kwa ajili ya BUNGE na huyo mfuasi wa gamba yupo karibu sana na mzee mamvi ok tulieni wana jf
 
huyu mzee kunakipindi aliita waandishi kwake eti anataka kutoa neno - akaishia kusema ajira bomu la masaa , wakati si tulikuwa tunajua anajivua gamba. hata leo akitoka ataishia kusema swaga zile zile tulizozizoea
 
Hapo kwenye bold ndio penyewe, hivi wanajeshi na maaskari wa humu JF mnafahamu aina ngapi ya mabomu? Hivi kuna mojawapo linaitwa "Bomu la Ajira"?
Halafu huyu mamvi alipokuwa PM kwa zaidi ya miaka 2 employment level ya Tz ilikuwaje?
Akili ya Magamba ni kama ya Makamba!
 
kwi kwii kwiii umeooonaaaa eeehhh mpwa umenikumbusha mambo ya saa nne tandale inapiga hivi sasa ni saa mbili kamili kama nakuona ulivyo hoi na glass zetu
Kumbe na wewe ulikuwa customer wa uwanja wa Fisi Manzese!!....
 
Jana nilisoma kwenye baadhi ya threads lowassa kutangaza uamuzi mgumu
leo kwa walioiona siku ya leo naona hu ni mchana kuna lolote linaloendelea
na kaama hakuna wadaku hawa tuwaitaje mbele ya jf
wambea
washamhuna
ama

...... Lusinde
.......Masaburi
......Kihiyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom