Mbele ya Safari Makonda yatamkuta kama ya Lowassa, Usaliti ni Ngao ya watu wa Pwani

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,411
11,061
Kuona mbali, karibu, nyuma, mbele, kati, historia, yajayo , ya jana, Leo na kesho. Haya yote ni uwezo wa mwenyezi Mungu aliyoweka ndani yetu.

Iwavyo vyovyote vile Makonda aweke utayari ndani ya akili yake kutokuwa na matamanio ya vitu vikubwa na asiamini katika ahadi yoyote atakayoambiwa.

Afanyie kazi maagizo na miongozo kwa misingi ya utu na ubinadamu. Msingi wa Dini yoyote ile ni utu na ubinadamu.

Hata Lowassa alikuwa na Imani na alikuwa mpenda utajiri na umaarufu, na alitamani vitu vikubwa na ndoto kubwa kubwa.

Dunia ni duara watu wa Pwani ni walewale na wana umoja wao katika miungu yao, inapokuja katika miungu yao sehemu na muda wote ule kisicho chao ni dekio haijalishi ni usiku au mchana. Mshangao utabaki kuwa sumu yako ya hiari na yatokanayo ni yako

Maono si kwa utashi wetu bali ni tunu ya Mungu Baba aliye hai jana,Leo na hata milele.

Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.
Mwenda pole hajikwai.
Mtaka vyote hukosa vyote.
Mtaka vya wengine huvurugikiwa hata katika chake.
Kilicho chao uwe nacho makini.
Mvaa vazi la kuazimwa haringi na hajikwezi hana budi kunyenyekea kwa tunu ya usitiri.

Shukrani

Wadiz
 
Makonda Mobali na Ngai.
GADQtzCWcAAm5gj

Picha: kutoka kurasa za CCM X formerly known as Twitter
 
Nimerudia kusoma Mara mbili mbili,
Japo inaweza kuwa criticized eneo fulani lakini Ina ukweli ndani yake to be fair. Machawa wake wasiache kumpa vidokezo Kama hivi kusaidia aji control na kuwa tayari na macho.
 
Kwamba Makonda bila CCM (could he have been better) au CCM ndio imefanya Makonda alivyo kama alivyo...

Hapo naongelea economically and popularity (vilevile Lowassa); Tunashangaa ubaya wa kwenye siasa tunasahau kwamba ubaya huo unasababishwa na hao hao wanasiasa (they are not that clean anyway) Ukitafuta watakatifu usiende kwenye siasa
 
Back
Top Bottom