U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Kifupi ni kwamba Msekwa amelipa kisasi. Kuna mkono wake tena ni mrefu. Na huenda Anna Abdallah akashinda, hapo ndio machungu ya kushindwa ya Msekwa yataisha.
 
:doh: MI NILIJUA TU MZEE WA VIWANGO ANGETEMWA ILI MAFISADI WAPITISHE HOJA ZAO ZA KULA NCHI. ANNA MAKINDA ATAPITA ILA SHE IS SO LOW, SO SOFT AND WILL SALUTE FOR WHATEVER ORDER GIVEN BY THOSE IN POWER (THE ROSTAMS, LOWASAS, .....YOU NAME THEM).
:yield:
 
Sisiemu wanacheza na watanzania.kwa kifupi wateuliwa hao ni vibara wa MAFISADI.makinda hana msimamo,abdallah anamsimamo,lkni anaunga mkonö mfisadi.kamba sijui yupoje.nampa nafasi makinda.ila wote hawafai
 
Natamani kulia kwa kweli. Bora ningezaliwa Rwanda tu. Baada ya miaka mitano ndugu zangu wote wa kijijini sipati picha watakua kwenye hali gani
 
Of course nia ya Chenge kumsakama Sitta ilikuwa ni dili ya Rostam, Lowassa na Mzee mzima ili kumng'oa Mr Six na kumweka Anna Makinda ambaye amedaiwa amekuwa kwenye kambi yao sasa.

Opposition wamchague Mabere Marando ili apambane na hilo chaguo la Rostam.

Sasa tutawaona wabunge wa CCM kama wameshakombolewa kifikra na kimaamuzi au bado wameshikiliwa na Rostam.
Inatakiwa wawaonyeshe akina Rostam, Lowassa, makamba, Chenge, Makinda na Mzee Mzima kuwa wao KWANZA ni WAWAKILISHI WA WANANCHI WOTE wa majimbo yao, na si wa CCM tu. wamchague MARANDO.

Hapo wabunge hao wa CCM wataheshimiwa na VIONGOZI, MAFISADI na WANANCHI WAO.
 
I hate th so calld kamati kuu ya CCM (NEC) Of all th seriously problem we have in ths undeveloped country they sat and choose a speaker out of GENDER...?
 
Huu ndio wakati kwa vyama vya upinzani kujisafishia njia ya kulikomboa taifa. Nawashauri watumie hii nafasi kwa umakini ili spika atoke upinzani
 
mmbwa mzee hafundishwi sheria mpya ccm ni ile jana leo na hata milele tusitegemee jipya kutoka kwa makamba na ccm yake!
 
mafisadi ndio wanapanga nchi iendeshwe vipi wewe tulia tu hadi miaka yenu ifike mje kujiendesha wenyewe subirini hadi kizazi chao kiishe upo wao bado unafanana na ule wa kikoroni poleni sana
 
Ila Sitta was one of the expensive ever in Tanzania. Alivyopata Uspika alitaka recognition ya hali ya juu. Kalipiwa nyumba kwa mwezi mil 10, walinzi na kulalamika kila usiku. Kajengewa ofisi jimboni kwake ya mamilioni. Ni vyema akae pembeni au la asubiri kusulubiwa kama waziri na wabunge kama yeye alivyokuwa anaruhusu serikali kusulubiwa. Nina hakika hata uwaziri hautamani na angeweza hata ubunge angeukacha. Yaani trick aliyoicheza Chenge ni ya hali juu. Maana alikuwa na hakika hapati kwahiyo akamuharibia na mwenzake.
 
Nilitegemea hilo kwani lengo la Chenge kugombea ulikuwa ni mpango wa kumchomoa Sitta ili asijekulalamika,mpango huo ulikuwepo sana na sishangai sana,:smile-big:

had the same thought. Pia walijua chenge akitajitangaza tuu watu wangehamishia masikio yetu kwake. Which in fact people did. Baada ya chenge kutatangaza kuwa atagombea uspika watu including vyombo vya habari vilianza kumjadili yeye badala ya Sitta. Watu na vyombo vya habari vilichukua tangazo la chenge kwa uzito sana, a trick made by CCM and finally worked for them. Kweli kuna watu walifikiri kuwa chenge angechaguliwa na ccm kuwania uspika?? Ilikuwa ni njia ya kuwapumbaza watu.
 
Back
Top Bottom