U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

Wameteuliwa Anna Makinda, Anna Abdallah na Kate Kamba.
Habari ndiyo hiyo!

Kudadeki Kweli ng'ombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume na dume levyewe linakufa, akizaa jike linakuwa tasa. Pamoja na kupiga kura zetu kwa bidii thithiem wanaweka spidi gavana badala ya spika mwenye akili timamu. hawa wote alioteuliwa ni vimeo na wako kwa maslahi ya mafisidi sio siri inakera, CCM watakua lini waache mambo ya kitoto. Kwakweli tumechoka na tutegemee bunge linalobore na kusubiri miaka mitano iishe. siamini kama niko bongo kwenye chama tawala kichina.
 
wenzio washakuwahi kuipost hii thread, uwe unasoma za wezio kabla ya kuweka yako
 
Bunge la kina mama!

mtazidi ona vikuku,na vibata na vijogoooooo...kwi kwi

jamani naomba kuuliza does it mean sitta ataendelea pewa poshoya ex-spika?uwiiii ccm madai yao now wanfuata usawa wa gender...if atashinda mmama ajiandae kuzaa bungeni bila kuwa na mimbaa mana moto wa chibuda et al ukianza ni patashika nguo chanika

jamani wahusika ebu andaeni ka sub group ka bunge humu muwe mnatuwekea clips za yaliyojiri basi
 
Swala la gender litatupeleka pabaya sasa,huyo atakayepita kwa vyovyote atakuwa remotely controlled kama ilivyo mara nyingi kwa wanawake.Kwa kweli huu ni ushindi kwa mafisadi.
 
Baada ya kuona bunge linazidia kujitenga na chama now CCM want to use our beloved mothers and sisters ili chama kiendelee kushika hatamu na kufanya madudus bila kuogopa kuhojiwa.

Hapa kigezo cha kumpiga sitta chini lazima ilikuwa ni kuwawezesha wanawake. Next Sitta atapewa cheo cha kuoma magazeti ofisini. Waziri wa nchi katika ofisi ya Makamu ya waziri mku au waziri wa nchi katika ofisi ya makamu wa rais.

Furaha iliyoje kwa Rich Man Of Monduli
 
Kamati Kuu ya CCM imependekezea majina yafuatayo kugombea Uspika:

1. Anna Makinda
2. Anna Abdallah
3. Kate Kamba

Kwa hivyo Mzee wa Vijisenti out, Sitta out!!!

Source: Channel 10 News Bulletin 3 minutes ago.
inasemekana ni kazi ya 3k yani kinana, kikwete na kingunge,
mazungumzo ya sitta kupinga matokeo na kujitoa na kuhamia chadema yanaendelea
 
Duh Kwa ufupi hawa Huyu Mwenyekti eti anataka Mhimili mmoja wa serikali uwe na mwana mama. ndo maana maamuzi hayo yamefanyika.Ila Huyu mama nae anaubabe kweli kwenye kuendesha Bunge naona Bunge lijalo litakwenda Upinzani ili kunyoosha mambo yaende sawa
 
dahh hili kundi la akina Lowassa lina nguvu sana..duuuh yaani mzee Sitta nje..hahaaaaa
 
Wana JF kwa kweli tuanze kulia, Anna Makinda ambaye ni ndiye mshindi mpaka hapo ni mtu asiye na mchango kabisa kwa vyama vya upinzani. Kuuanzia sasa upinzani tutegemee kupungua badala ya kukuwa.
 
Kudadeki Kweli ng'ombe wa masikini hazai na akizaa anazaa dume na dume levyewe linakufa, akizaa jike linakuwa tasa. Pamoja na kupiga kura zetu kwa bidii thithiem wanaweka spidi gavana badala ya spika mwenye akili timamu. hawa wote alioteuliwa ni vimeo na wako kwa maslahi ya mafisidi sio siri inakera, CCM watakua lini waache mambo ya kitoto. Kwakweli tumechoka na tutegemee bunge linalobore na kusubiri miaka mitano iishe. siamini kama niko bongo kwenye chama tawala cha kichina.
 
Kwa staili hii Mabere marando anaweza kupata nafasi ya Uspika kwani tunahitaji wabunge 72 tu kutoka CCM
Watakaa kama chama na kuwapigia wagombea wao, labda ipigwe kampeni ya maana na wapinzani kuwawin hao wabunge wa ccm.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom