NIMESOMA PAGE YA KWANZA YOTE ila kilichonishangaza nikuona wale pro-chadema wakimsapoti lowassa. sijaelewa hasa ni nini kilichonyuma ya hili sakata la kutaka kumpeleka mwizi pale magogoni.
au nina wasiwasi mods wanatumika kwa ku-delete any against content.
inamaana chadema aka wachaga wamehamia kumuunga mkono lowasa kwa sababu ni mkaskazini mwenzao? wonders will never end.
Chadema wanajua hawawezi.kushindana Urais wa nchi hii