Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

NIMESOMA PAGE YA KWANZA YOTE ila kilichonishangaza nikuona wale pro-chadema wakimsapoti lowassa. sijaelewa hasa ni nini kilichonyuma ya hili sakata la kutaka kumpeleka mwizi pale magogoni.
au nina wasiwasi mods wanatumika kwa ku-delete any against content.

inamaana chadema aka wachaga wamehamia kumuunga mkono lowasa kwa sababu ni mkaskazini mwenzao? wonders will never end.

Chadema wanajua hawawezi.kushindana Urais wa nchi hii
 
Kwa hali tulio nayo pinda hawezi kututoa hapa tulipo kama alikiri kwamba hajui kwanini Tanzania ni masikini hawezi kututoa kwenye unasikini in waziri mkuu dhaifu kuliko wote walio tangulia
 
👊💀👎👌💨💨💨💨

When did u take ur last maths class..!!? haya kura 1 imeharibika...hv u satisfied..!!?

Hujui hata kuwa Katiba inasema UKIPATA MORE THAN 50% YA WAPIGA KURA WOTE...ndie mshindi...

Ww ushindi wako ni 100%...!?? When did u take ur last maths class..!!??

USITOKE POVU KIJANA
-----------------—---—---------—--
Nimetumia data za huo utafiti uchwara...

★ sasa nionyeshe sehem gan mtoa hoja amehainisha KURA moja kuharibika?!

Au ndo tuhisi hivyo sio?

Hata kama tukisema KURA moja imeharibika sasa mbona hyo tofauti ya kiasilimia itazidi zaidi ya mtu mmoja.....

Hebu twende pamoja.
———----—----—----————
Idadi ya sample ni 60.
Kwa mtu 1 itakuwa ni 1/60 ×100=1.666% kimakadilio sawa na 1.7% sasa iweje ukijumlisha % ya Lowasa na wenzako wote ifikie 96.4% badala ya kuwa 98.3%(kwa maana ya kura moja kuharibika)?!
Au hujui kwa sample ya 60 people 3.6% ni sawa na watu 6 na sio mtu 1 kama unavyojitetea eti KURA 1 imeharibika!!!!

Pia sijasema mshindi ni lazma apate100%.
Nimesema ukijumlisha % kwa wagombea wote ni lazma zifikie 100% au kimakadilio basi zikaribie saaana na 100%...
-------—---------–-----------–-----–----–
Samahani lakini.

Itabidi nikuchaji ada kwa hii shule ninayowadondoshea wapika takwimu tena mliokimbia hesabu ndogo ndogo.......

Na hata kama walimu wenu waliwashindwa kwa kuwa na vichwa vigumu ila hapa mtaelewa tu.
-----—------—-----------------–-----–—

Specialist88

UKAWA TUMAINI 2015.
 
ngoja nijiunge na kambi ya lowasa au pinda inaonekana kuna mpunga wa kutosha hata wasipopitishwa hela itakua ishapigwa....hiki ni kipindi cha mavuno ukikikosa subiria 2020.......
 
Sina tatizo na Pinda. Ni mtu mwenye hekima katika kuamua mambo.Nchi yetu imefika mahali tuna hatua chache kufikia uchumi wa kati. Hasa baada ya gesi na mafuta. Tunahitaji kiongozi makini na mwenye busara katika kuongoza.
 
USITOKE POVU KIJANA
----------------------------------
Nimetumia data za huo utafiti uchwara...

★ sasa nionyeshe sehem gan mtoa hoja amehainisha KURA moja kuharibika?!

Au ndo tuhisi hivyo sio?

Hata kama tukisema KURA moja imeharibika sasa mbona hyo tofauti ya kiasilimia itazidi zaidi ya mtu mmoja.....

Hebu twende pamoja.
---------------------
Idadi ya sample ni 60.
Kwa mtu 1 itakuwa ni 1/60 ×100=1.666% kimakadilio sawa na 1.7% sasa iweje ukijumlisha % ya Lowasa na wenzako wote ifikie 94.6% badala isiwe 98.3%(kwa maana ya kura moja kuharibika)?!

Pia sijasema mshindi ni lazma apate100%.
Nimesema ukijumlisha % kwa wagombea wote ni lazma zifikie 100% au kimakadilio basi zikaribie saaana na 100%...
-----------------–-----------–-----–----–
Samahani lakini.

Itabidi nikuchaji ada kwa hii shule ninayowadondoshea wapika takwimu tena mliokimbia hesabu ndogo ndogo.......

Na hata kama walimu wenu waliwashindwa kwa kuwa na vichwa vigumu ila hapa mtaelewa tu.
------------------------------–-----–-

Specialist88

UKAWA TUMAINI 2015.
Una tatizo kubwa sana katika rounding up na ni wazi hujui ukisemacho au umeshindwa kuelewa hizo data.............Hizo zenye asilimia 3% ukifanya hesabu zake ni 3.4% kwa kuwa hiyo 4 haijavuka tano not neccesarly uiweke ila kama ikivuka unalazimika kuiweka au kuiround up, ndiyo mana unaona hiyo difference kutokana na hizo pct mleta mada kaziacha..., pili 0.5 SE ina ny research lazima iwepo in that case not neccesarly iwe 100%.........rudi shule then usome kitabu cha Urry maarufu katika social researches......
 
We akili yako ndogo kweli.......kwa msaada namba yoyote ikiwa na point zaidi ya tano your eligible to round up, na ikiwa chini ya hiyo uwezi ku round up..........na katika utafiti wowote ule always kuna 0.5 SE......... comment yako imeonyesha upeo wako mdogo ulionao..........I recommend to you to read more and more kitabu cha Kothari...
Hizo ni mbwembwe za kuonyesha umesoma statistics , wote tumesoma , elimu zenu za kata ni matatizo kwa idadi hiyo ya wapiga kura na kwa swali hilo moja na kwa watu hao waliohojiwa kwa akili yako unafikiri kuna statistical package ilitumika hapo ? muuliza swali yuko sahihi waeleze juu ya hizo figure zina utata
 
Mungu atamuweka rais wa tano wa JMT AMBAYE NI TOFAUTI NA MATARAJIO, it's just a matter of time.
 
Sina tatizo na Pinda. Ni mtu mwenye hekima katika kuamua mambo.Nchi yetu imefika mahali tuna hatua chache kufikia uchumi wa kati. Hasa baada ya gesi na mafuta. Tunahitaji kiongozi makini na mwenye busara katika kuongoza.

angekua na busara angesema watu wapigwe tu
 
Hv TB Joshua ni nabii? sifa za nabii zinafahamika? mganga mwenye pepo wa uaguzi unamfahamu? hv TB Joshua sasa anaweza kwenda South Africa? soma biblia usijepotea kiongozi hatokani na TB Joshua ila anatoka kwa MUNGU.........MUNGU ATATUPATIA KIONGOZI tena tutapata mtu anayedharaulika toka upande wa pili..........kama unabishi pinga.......hata mkapa atashika uongozi kwa mpito......cjui kuna nini lakn mkapa ataongoza kwampito .
 
Hizo ni mbwembwe za kuonyesha umesoma statistics , wote tumesoma , elimu zenu za kata ni matatizo kwa idadi hiyo ya wapiga kura na kwa swali hilo moja na kwa watu hao waliohojiwa kwa akili yako unafikiri kuna statistical package ilitumika hapo ? muuliza swali yuko sahihi waeleze juu ya hizo figure zina utata
Ujakosea Mkuu mimi nimesoma shule za kata kwa sababu wazazi wangu walikuwa wakulima, kama wewe umesoma St sijui nini, sijui cambridge that is you, ila elimu hiyo imekufanya kuwa mtumwa, nyie ndio mlikuwa mnapiga deki huko ulaya na kuuza kitakoreee aka masaburi, na ya kwako ilivyo tamu najua uliiuza sana sana
 
specialist88 hizo perc ukijumlisha zinafika 98. Kumbuka huyo January na nchemba ni kura moja each. Hata hivyo percentage katika mabano ni rounded off estimations cha muhimu kuangalia ni kama idadi inafika hio 60. Argument yako kuwa percent haifiki 100 na hivyo basi takwimu ni feki sio sahihi na inatilia Shaka uelewa wako.
 
Last edited by a moderator:
👍👍 Ha!ha!ha!haaaaaa.....Kingunge hakopeshi..anakupa live....!!!!

Juzi January Makamba alienda kuomba sapoti kwa Kingunge, mzzee wa watu hakuweza kumkawiza akamwambia wazi wazi kuwa kijana haujatosha katika hii nafasi, nakushauri urudi katika jimbo lako.........then akampigia mzee Makamba mwenyewe kisha akamwambia kijana wako ninaye hapa ila nimemwambia wazi wazi kuwa hafai kwa sasa......tokea siku hiyo jamaa kakata tamaa katika hizi mbio za urais
 
specialist88 hizo perc ukijumlisha zinafika 98. Kumbuka huyo January na nchemba ni kura moja each. Hata hivyo percentage katika mabano ni rounded off estimations cha muhimu kuangalia ni kama idadi inafika hio 60. Argument yako kuwa percent haifiki 100 na hivyo basi takwimu ni feki sio sahihi na inatilia Shaka uelewa wako.
Kaka umeelezea hili jambo vizuri sana.....hapo Ocampo anamaanisha Mwigulu na January kura moja moja......Specialist88 hajui anachokisema na haya ndiyo madhara ya kuvamia kucomment kabla ya kusoma uzi mzima....
 
Back
Top Bottom