Kwanini CCM pamoja na wingi wa wafuasi, mama anaupiga mwingi inaogopa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,488
2,340
Ni swali dogo tu la kawaida hata KICHAA anaweza kulijibu. CCM imekuwa inajisifu kuwa ina idadi kubwa ya Wanachama ambao kiuchaguzi ni Mtaji mkubwa wa Kuipigia kura CCM. Pia CCM imekuwa inajisifu kuwa ayafanyayo Mwenyekiti wake ni Mtaji mkubwa kwa wananchi kukipigia kura wakati wa Uchaguzi. LAKINI pamoja na yote hayo.

CCM imekuwa inaogopa sana suala la KATIBA MPYA licha ya kuwa inajisifu kuwa inapendwa na Wananchi.Pia CCM imekuwa inaiogopa sana TUME huru ya UCHAGUZI kama Ukoma.Najiuliza kama Kweli CCM inapendwa kwanini iwe na HOFU KUBWA ya kuwa na KATIBA MPYA na TUME HURU ya Uchaguzi?

Kwanini CCM inaing'ang'ania KATIBA ya Zamani na TUME ya Uchaguzi ya zamani? UKWELI iliopo CCM haijiamini na inajua wazi kuwa Idadi kubwa ya WANANCHI wanaichukia. Kupitia KATIBA na TUME ambazo zipo KICHAMA zaidi ndizo zinazoisaidia CCM kupata USHINDI katika CHAGUZI mbalimbali na hii ndiyo sababu ya CCM kutokukubali SUALA la KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI.
 
Ni swali dogo tu la kawaida hata KICHAA anaweza kulijibu.CCM imekuwa inajisifu kuwa ina idadi kubwa ya Wanachama ambao kiuchaguzi ni Mtaji mkubwa wa Kuipigia kura CCM.Pia CCM imekuwa inajisifu kuwa Ayafanyayo Mwenyekiti wake ni Mtaji mkubwa kwa wananchi kukipigia kura wakati wa Uchaguzi.LAKINI pamoja na yote hayo
CCM imekuwa inaogopa sana suala la KATIBA MPYA licha ya kuwa inajisifu kuwa inapendwa na Wananchi.Pia CCM imekuwa inaiogopa sana TUME huru ya UCHAGUZI kama Ukoma.Najiuliza kama Kweli CCM inapendwa kwanini iwe na HOFU KUBWA ya kuwa na KATIBA MPYA na TUME HURU ya Uchaguzi?
Kwanini CCM inaing'ang'ania KATIBA ya Zamani na TUME ya Uchaguzi ya zamani? UKWELI iliopo CCM haijiamini na inajua wazi kuwa Idadi kubwa ya WANANCHI wanaichukia. Kupitia KATIBA na TUME ambazo zipo KICHAMA zaidi ndizo zinazoisaidia CCM kupata USHINDI katika CHAGUZI mbalimbali na hii ndiyo sababu ya CCM kutokukubali SUALA la KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI
CCM sio inayotoa katiba mpya kama zawadi, CCM inataka maoni ya wananchi woote kwa asilimia kubwa waoneshe kuhitaji katiba mpya, Wewe endelea kushawishi watu wengi zaidi, kwa sasa huo uhitaji haupo nchini.
 
Ni swali dogo tu la kawaida hata KICHAA anaweza kulijibu.CCM imekuwa inajisifu kuwa ina idadi kubwa ya Wanachama ambao kiuchaguzi ni Mtaji mkubwa wa Kuipigia kura CCM.Pia CCM imekuwa inajisifu kuwa Ayafanyayo Mwenyekiti wake ni Mtaji mkubwa kwa wananchi kukipigia kura wakati wa Uchaguzi.LAKINI pamoja na yote hayo
CCM imekuwa inaogopa sana suala la KATIBA MPYA licha ya kuwa inajisifu kuwa inapendwa na Wananchi.Pia CCM imekuwa inaiogopa sana TUME huru ya UCHAGUZI kama Ukoma.Najiuliza kama Kweli CCM inapendwa kwanini iwe na HOFU KUBWA ya kuwa na KATIBA MPYA na TUME HURU ya Uchaguzi?
Kwanini CCM inaing'ang'ania KATIBA ya Zamani na TUME ya Uchaguzi ya zamani? UKWELI iliopo CCM haijiamini na inajua wazi kuwa Idadi kubwa ya WANANCHI wanaichukia. Kupitia KATIBA na TUME ambazo zipo KICHAMA zaidi ndizo zinazoisaidia CCM kupata USHINDI katika CHAGUZI mbalimbali na hii ndiyo sababu ya CCM kutokukubali SUALA la KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI
Majibu yake watakwambia katiba mpya itasababisha vurugu
 
Hivi kama unajua ukipigwa sumu ya koboko nini kitafata utathubutu kuikaribia hata kidogo? 😁😁😁

Sasa chukulia sumu ndio katiba mpya na koboko ndio tume huru na wewe ndio CCM. Shenziii huwezi elewa kama huna C3
 
Wanajua kinachoweza kuwapta.....usidhani wao ni wajinga
 
Hivi kama unajua ukipigwa sumu ya koboko nini kitafata utathubutu kuikaribia hata kidogo? 😁😁😁

Sasa chukulia sumu ndio katiba mpya na koboko ndio tume huru na wewe ndio CCM. Shenziii huwezi elewa kama huna C3
Hahaha
 
CCM inafahamu jinsi ilivyo kwenye hali mbaya, kuliko mtu yeyote.

Mwaka 2015, CCM ilipoteza kote, bara na visiwani.

Mwaka 2020, Lisu pamoja na kuwekewa mazingira magumu sana, lakini bado alipata kura nyingi za kukaribia kumshinda mgombea wa CCM.

Kwa Zanzibar, tangu Maalim Seif aanza kugombea, kila uchaguzi alishinda.

CCM wanajua kabisa kuwa siku ambapo mazingira yatabadilika, kiasi cha kulazimishwa kuwa na Tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, lazima itatolewa nje ya uongozi.

CCM inajua kuwa wananchi wengi hawaitaki, wanajua kuwa wanaongoza kwa kulazimisha.

CCM ingekuwa na uhakika wa kushinda, katika kutafuta credit, haraka sana, ingekuwa ya kwanza kuhimiza uwepo wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, na ingewaalika watazamaji toka Duniani kote ili waje washuhudie inavyoshinda. Lakini kwa sasa haina huo uwezo. Hiyo ni sababu mojawapo ya viongozi wengi wa CCM na Serikali kutokuwa na huruma na wananchi, kwa sababu wanajua kuwa hawapendwi na.
 
Back
Top Bottom