Tuzo ya Nobel na udaktari wa kupewa kipi bora

shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,765
5,154
Kati ya tuzo ya Nobel na udaktari wa kupewa ipi ni bora
mfano aliyo pewa Desmoni Tutu na udaktari aliopewa Kikwete,Karume.
Hivi kwanini sisi tuna madaktari wengi wa kupewa kuliko hizo tuzo za nobel?
 
Back
Top Bottom