TUZO ya JF

Mwaka jana nilishinda tuzo ya JF Man of the year lakini mratibu wa zoezi akala kona na hakunipa kitita changu cha Tsh. 50,000/=
ngabu usikate tamaa zoezi limeboreshwa na bado mwezi mmoja tu huenda ukanyakua tena..tuzo itakabidhiwa siku ya mwaka mpya
 
Aagh mi Jukwaa la Siasa tangu walipoanza kulifanyia check-up sina time nalo, I cant post new sredi kule coz nawajua wale jamaa
 
Aagh mi Jukwaa la Siasa tangu walipoanza kulifanyia check-up sina time nalo, I cant post new sredi kule coz nawajua wale jamaa

Wewe kweli mgeni mwenyeji humu. Posts za jukwaa la siasa ziliachwa kupitiwa wiki nne zilizopita.
 
Mkikamilisha mnikaribishe wakati wa utoaji wa Tuzo nina machache ya kuongea
FL1 naona unajipigia kampeni ya guest of honour...Superman anasikia nadhani atakupa. sasa sijui ukitajwa mshindi wewe itakuwaje?
 
Back
Top Bottom