TUZO ya JF

Mkishampata huyo mje kwenye tuzo nyingine:

Mchakachuaji wa Mwaka
Mla BAN maarufu wa mwaka
Mtumiwa PM maarufu wa Mwaka
Mtongozaji maarufu wa Mwaka
Mtoa dozi ya vidonge maalum wa mwaka (Hapa tuko wawili tu na mai felo tableti wangu)
Mtumiaji mzuri wa kiinglish wa mwaka
Mtoa sredi nyingi zaidi wa mwaka
Mchangiaji maarufu wa mwaka (hata kama anapost "Nimepita tu" nyiiiiiingi)

>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>

heheeh hizo red hapo fellow tablet hatuna mpinzani aisee! hapo lazima tuzo iende jumuiiya ya vidonge tu
 
Back
Top Bottom