Tuzijadili sifa za mwanamke mpumbavu ambaye huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

Bujibuji mwanamke huyo aliyezungumziwa na biblia siyo huyu unamyemjua wa leo. Haki sawa kwa wote, ndiyo mchawi mkubwa wa wanawake. Wanawake wengi wanaotaka kutekeleza kwa vitendo nadharia hii huishia kuvunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe.
 
Hebu tufafanulie kidogo "haki sawa kwa wote" inajumuisha vitu gani?
 
Bujibuji mwanamke huyo aliyezungumziwa na biblia siyo huyu unamyemjua wa leo. Haki sawa kwa wote, ndiyo mchawi mkubwa wa wanawake. Wanawake wengi wanaotaka kutekeleza kwa vitendo nadharia hii huishia kuvunja ndoa zao kwa mikono yao wenyewe.

Mke wangu akileta habari za usawa na mimi ntamwambia leo niko kwenye siku zangu kwa hiyo siwezi kukupa uhausi
 
Kuna wanawake wengine wamejaaliwa sana mdomo mrefu. Umekuja kutoka ofisini shati limochomoka kidogo kutokana na rabsha za kupigania daladala, basi atakusema weee, kuanzia saa 12 ulipofika hadi saa tano usiku akimaliza kuangalia matamthilia anaendelea tu kuongea kwamba wewe hauko smart na wala hujijali.
 
leo ni sikuukuu 'tutafute vitu light vya kujadili'
tusitoane mapovu

Eid njema Boss

Kuna mada moja nzuri inayojadili mvuto wa ma-injinia.......maoni yako yanahitajika. Maana naamini una expirience katika mitaa hiyo pia
 
ha haaaaa eid mubarak kwanza...
nilijua 'inakuhusu' ngoja niitazame lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom