Tuzijadili sifa za mwanamke mpumbavu ambaye huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe

eeh mungu baba ebu tuone wasichana na wanawake wa hapa jf, tuokoe na hawa majibaba ya hapa jf ambao kutwa kucha kutusakama. mungu tuokoe tunakulilia
 
Jirani yangu ndio anadhani mkewe ni miongoni mwa wanawake wapumbavu.
Hataki watoto wasome shule nzuri eti wanamaliza tu hela, bora mumewe awahamishie kwenye shule za kata

dah huo ni upumbavu squared! Wanazitafuta izo hela za nini sasa?
 
Jirani yangu ndio anadhani mkewe ni miongoni mwa wanawake wapumbavu.
Hataki watoto wasome shule nzuri eti wanamaliza tu hela, bora mumewe awahamishie kwenye shule za kata

inawezekana hali ya kipato siyo nzuri,
vinginevyo mama naye anazo sababu zake,
si mmsikilize kwanza.
 
Jirani yangu ndio anadhani mkewe ni miongoni mwa wanawake wapumbavu.
Hataki watoto wasome shule nzuri eti wanamaliza tu hela, bora mumewe awahamishie kwenye shule za kata

"Tunaomba tumjadili huyu mwanamke wa ajabu kabisa, ambaye kaamua kuivunja nyumba yake mwenyewe kwa mikono yake"

BB huyo mwanamke alieamua kuivunja nyumba yake ni yupi???maana naona hapa unamuongelea jirani yako hataki watoto wasome shule nzuri. Kwa kukusaidia kama ni swala la jirani lazima kuna kitu huyo rafiki amekuficha haya mambo ya kuta 4 haya yana siri kubwa!! Sidhani kama kuna mwanamke muelewa atakae kataa watoto wake wasisome shule nzuri,labda awe na sababu za msingi na moja wapo ikiwa ni kipato chao! Inawezekana wana kipato kidogo halafu baba anataka kujitutumua aonekanae na yy watoto wake wanasoma HOPAC!!!!huku nyumbani hata kodi ya nyumba hawana.
Kama unamuongelea mwanamke wa kwenye bible......kuna mengi ya kujadili hapa,to cut it short sidhani kama kuna mwanamke(especially watz)ambae anaamua tu kuvunja ndoa yake kwa vitu vidogo(yaani vya kipumbavu) nina amini asilimia kubwa sana ni wavumilivu.
Kuna vitu vya msingi vya kuangalia kabla hujaamua kuivunja hiyo "NYUMBA"unayoisema,ila kumbuka uvumilivu pia unatofautiana......lakini SI WAPUMBAVU!!!! Kwanza kwa ndoa za siku hizi mwanamke anaeweza ku-step out mimi namuita JASIRI!!!!!
 
anayeshinda kutwa kucha anasoma text za mumewe ... Huyu anavunja kwa mikono yake mwenyeweeeeeee
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom