MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Hamjambo wanangu?

Kama mwanamke mpumbavu anao uwezo wa kuivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe, je, vipi kuhusu mwanaume mjinga, anaweza kuivunja ndoa yake kwa kutumia nini?

Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji kuwa na hekima yenye taarifa sahihi. Wakati huo huo mwenzake mwanaume yeye anahitaji kuwa na maarifa yenye maelekezo sahihi.

Sema nini wanangu na wajukuu zangu, siyo case, imeisha hiyo!
 
Anyways, kutembea kwingi kuona mengi. Sasa nisikilizeni wanangu na wajukuu zangu; mwanamke katika ndoa anahitaji kuwa na hekima yenye taarifa sahihi. Wakati huo huo mwenzake mwanaume yeye anahitaji kuwa na maarifa yenye maelekezo sahihi.
Hekima huwa haipewi taarifa isipokuwa ubongo/ akili. Hekima ni injini ya kuchakata vizuri taarifa na hatimaye kufanya maamuzi, sahihi bila kujali kuwa taarifa hizo zilikuwa sahahi ama la
 
Back
Top Bottom