Tuwe makini kununua magari show rooms za magomeni-ubungo-mwenge

mkuu umeongea ukweli'kuna mama alinunua corrola pale december mwaka jana imechukuliwa nyumbani kwake kilaini kabisa'nafikiri siyo hao peke yao mayard yote yanayouza magari wanafanya michezo hiyo'kuwa mwangalifu sana'kuna mtu ametoa ushauri wa kabadili lock nafikiri ni idea nzuri'vile vile kuna vitu kama gear lock au stering lock'just kuwa navyo kwenye gari
Vinaweza kukusaidia
 
kwanini ununue gari showrum bana...??? Wakati mjapani yupo!!! Haitakaa itokee mimi kwenda show rum labda windowshoping tu!
 
i think guys sio show room zote zina tabia hizo kuna show room chache zipo reliable ila show room zote zinazoperatiwa na waswahili lazima ayo mambo yawepo esp za maeneo hayo cha msingi ni kuangalia mazingira ya show room au hao wauzaji wapoje. ikishindikana kuna kitu tradecarview.com hawa jamaa wana baadhi ya sellers wao ni very reliable na inachukua just 1.5 months gari kufika Dar port mine nilitumia just 5 weeks from the day niliposubmit remmitance copy so ni vizuri kuwatumia akuna usanii wa sinza au magomeni apo.
 
Wale wa mikoani ndo wanauziwa sana magari ya wizi kiujumla polisi na TRA wanajua kwani %kubwa ya madalali wa lumumba na kidongo ndo marafiki zao,nawashauri usikubali kuuziwa gari bila kwenda TRA kulikagua


Sure madalali kina DIBLO wanakula pamoja na kina SAID KIATU(Central)
Kwa madili ya magari ya wizi
 
Ni kweli kabisa show room za maeneo uliyotaja,wanauza magari ya wizi,pale kidongo chekundu kuna dalali anaitwa DIBLO,alishawahi kumuuzia jamaa yangu gari ya wizi
 
057.JPG @ kamongo

umeniwacha hoi kuhusu Diblo mbona yupo sawa na hana matatizo binafsi nilimpa gari langu kakaa nalo siku tatu kauza hakukuwa na utata


 
kuna mambo mengi yanachangia mtu
kwenda show room
si wooote wwanaweza kama wewe
cha msingi
hawa wamiliki wa show rum
waache upuuzi wao.
kwanini ununue gari showrum bana...??? Wakati mjapani yupo!!! Haitakaa itokee mimi kwenda show rum labda windowshoping tu!
 
Back
Top Bottom