Tutafika kweli kwa hali hii....

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
122
Sijui ni maisha au nini!
Style za mahusiano siku hizi yanaenda kinyume nyume.

Kijana(ME) anataka aliyemzidi umri(JIMAMA/SUGARMUMMY) ajitimizie mahitaji yake.

Kijana(KE) anataka JIBABA(BUZI).

kwa hawa watu wazima unakuta wametengana au wapo na wenza wao.
Hivi makamu/umri aina wameisha?
Naweka.nukta
 
Tamaa ya mambo makubwa kuliko uwezo wao,
Kuendekeza njaa za kijinga na kutotaka kuwajibika na kufanikiwa kwa nguvu na jasho lao,
Kuiga na kufuata mikumbo hasa kwa watu maarufu au kutafuta umaarufu,
Kuendekeza tamaa ya ngono,starehe na anasa,
Hofu ya mungu imepungua sana.
 
sist upo?
 
Zamani ilikuwa ni wanaume wazee wanawaoa mabinti wadogo. sasa vijana wamekasirika wanalipiza kisasi kwa kuwatoboa mama zao!
 
Aisee kweli zamani ilikuwa ukienda makanisani, bwana harusi uso umechoooka, bi harusi kibinti. Ukiuliza nini wanasema hali mbaya ya uchumi, vijana wadogo hawataki kuoa.

Kwanza naona sasa hivi mambo yamebadilika, watu wanaoana almost same age group.

Ila kwenye uzinzi ndo wanazini na wa umri mkubwa sana zaidi yao; sugar mummies na sugar daddies; si kwenye ndoa.

mkuu sio uzizi, nafikiri ni maumivu(hasira) y/za mapenzi ndo yanasababisha yote na kuona dogodogo au kubwa lao ndo kipoozeo cha moyo.nukta
 
Tamaa ya mambo makubwa kuliko uwezo wao,
Kuendekeza njaa za kijinga na kutotaka kuwajibika na kufanikiwa kwa nguvu na jasho lao,
Kuiga na kufuata mikumbo hasa kwa watu maarufu au kutafuta umaarufu,
Kuendekeza tamaa ya ngono,starehe na anasa,
Hofu ya mungu imepungua sana.

kwa kifupi unakuwa ni ulimbukeni sio.nukta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom