Wananchi Tumesikia Hotuba ya JK Akitoa This Time Akiwa Ikulu Kuogapa Wananchi na Chadema Kumfundisha Adabu Tena. Somo Hapa ni Kwamba Huwezi Kuwakandamiza Watanzania Milele Ipo Siku Kama ya Tarehe 31, October 2010 Walishasema Hawawataki na Tumechoka. Hotuba ya JK Ofisini Imetangaza Rasmi DR Slaa Alishinda Uraisi na Walimhujumu Kama Huko Ivory Coast Inavyoendelea. CCM Kama Hawajifunzi Huko Ivory Coast Ilianza Hivi Hivi na Mwisho Wake Ndio Tunachokiona Ivory Coast, Peace Itanunuliwa na Bunduki. Swala Jingine Hapa Ni Kwamba Tuhakikishe Tunapata Nafasi ya Kupigia Hii Katiba Mpya Kura. Hakuna Kukubali Katiba ya Kupigiwa Mhuri wa JK au Bunge la CCM.
Tunawashukuru Sana Watanzania Chadema na Hasa DR Slaa Kuonyesha Nguvu na Ujasiri wa Kutoogopa CCM na Baadhi ya Maofisa wa Usalama wa Taifa Bila DR Slaa Kukubali Kujiunga na Kampeni za Uraisi Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba Yetu. Bila Chadema Kuamua Kuondoka na Kutomtambua JK, Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba. Demokrasia ya Africa ni Ngumu Sana Kuipata. "Hongera na Asante Sana Raisi Wetu Dr Slaa" Kupatikana na Kukubalika kwa Mabadiliko ya Katiba ni Kuonyesha Chadema na DR Slaa Ndio Washindi wa Viti vya Ubunge na Uraisi.
Tusisahau Kwamba Tumeanza na CCM Hawatakubali Kirahisi Watatumia Kila Njia Kupoteza Muda na Kununua Wajumbe wa Tume.
"Watanzania Sio Wakati wa Kulala Sasa ni Wakati wa Kukaza Mwendo Kumaliza Hili Jukumu na Wajibu Wetu"
Tanzania president pledges new constitution - Yahoo! News