Tusisahau JK Aliiba Kura Ndio Sababu za Katiba Mpya

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wananchi Tumesikia Hotuba ya JK Akitoa This Time Akiwa Ikulu Kuogapa Wananchi na Chadema Kumfundisha Adabu Tena. Somo Hapa ni Kwamba Huwezi Kuwakandamiza Watanzania Milele Ipo Siku Kama ya Tarehe 31, October 2010 Walishasema Hawawataki na Tumechoka. Hotuba ya JK Ofisini Imetangaza Rasmi DR Slaa Alishinda Uraisi na Walimhujumu Kama Huko Ivory Coast Inavyoendelea. CCM Kama Hawajifunzi Huko Ivory Coast Ilianza Hivi Hivi na Mwisho Wake Ndio Tunachokiona Ivory Coast, Peace Itanunuliwa na Bunduki. Swala Jingine Hapa Ni Kwamba Tuhakikishe Tunapata Nafasi ya Kupigia Hii Katiba Mpya Kura. Hakuna Kukubali Katiba ya Kupigiwa Mhuri wa JK au Bunge la CCM.
Tunawashukuru Sana Watanzania Chadema na Hasa DR Slaa Kuonyesha Nguvu na Ujasiri wa Kutoogopa CCM na Baadhi ya Maofisa wa Usalama wa Taifa Bila DR Slaa Kukubali Kujiunga na Kampeni za Uraisi Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba Yetu. Bila Chadema Kuamua Kuondoka na Kutomtambua JK, Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba. Demokrasia ya Africa ni Ngumu Sana Kuipata. "Hongera na Asante Sana Raisi Wetu Dr Slaa" Kupatikana na Kukubalika kwa Mabadiliko ya Katiba ni Kuonyesha Chadema na DR Slaa Ndio Washindi wa Viti vya Ubunge na Uraisi.
Tusisahau Kwamba Tumeanza na CCM Hawatakubali Kirahisi Watatumia Kila Njia Kupoteza Muda na Kununua Wajumbe wa Tume.
"Watanzania Sio Wakati wa Kulala Sasa ni Wakati wa Kukaza Mwendo Kumaliza Hili Jukumu na Wajibu Wetu"

Tanzania president pledges new constitution - Yahoo! News
 
Hapa ni ushindi kwa watz wote na nchi nzimz dhidi ya werema na kombani and the likes!
 
Hivi Weerawere na Komba-nii hawaoni aibu? inaonekana tuna waropokaji wengi zaid hapa nchini
 
Wananchi Tumesikia Hotuba ya JK Akitoa This Time Akiwa Ikulu Kuogapa Wananchi na Chadema Kumfundisha Adabu Tena. Somo Hapa ni Kwamba Huwezi Kuwakandamiza Watanzania Milele Ipo Siku Kama ya Tarehe 31, October 2010 Walishasema Hawawataki na Tumechoka. Hotuba ya JK Ofisini Imetangaza Rasmi DR Slaa Alishinda Uraisi na Walimhujumu Kama Huko Ivory Coast Inavyoendelea. CCM Kama Hawajifunzi Huko Ivory Coast Ilianza Hivi Hivi na Mwisho Wake Ndio Tunachokiona Ivory Coast, Peace Itanunuliwa na Bunduki. Swala Jingine Hapa Ni Kwamba Tuhakikishe Tunapata Nafasi ya Kupigia Hii Katiba Mpya Kura. Hakuna Kukubali Katiba ya Kupigiwa Mhuri wa JK au Bunge la CCM.
Tunawashukuru Sana Watanzania Chadema na Hasa DR Slaa Kuonyesha Nguvu na Ujasiri wa Kutoogopa CCM na Baadhi ya Maofisa wa Usalama wa Taifa Bila DR Slaa Kukubali Kujiunga na Kampeni za Uraisi Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba Yetu. Bila Chadema Kuamua Kuondoka na Kutomtambua JK, Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba. Demokrasia ya Africa ni Ngumu Sana Kuipata. "Hongera na Asante Sana Raisi Wetu Dr Slaa" Kupatikana na Kukubalika kwa Mabadiliko ya Katiba ni Kuonyesha Chadema na DR Slaa Ndio Washindi wa Viti vya Ubunge na Uraisi.
Tusisahau Kwamba Tumeanza na CCM Hawatakubali Kirahisi Watatumia Kila Njia Kupoteza Muda na Kununua Wajumbe wa Tume.
"Watanzania Sio Wakati wa Kulala Sasa ni Wakati wa Kukaza Mwendo Kumaliza Hili Jukumu na Wajibu Wetu"

Tanzania president pledges new constitution - Yahoo! News

Katiba ya marekani iliundwa rasmi mwaka 1788, hadi sasa ina umri wa miaka 222 lakini imefanyiwa marekebisho makubwa mara nne tu ambayo ni sawa na rekebisho moja kila baada ya miaka 56. Katiba ya Tanzania iliundwa mwaka 1977, hadi sasa ina umri wa miaka 33 na imefanyiwa marekebisho mara 14, ambayo ni wastani wa rekebisho moja kila baada ya miaka 2!!!. Sababu kuu ya uimara wa katiba ya marekani ni kwamba iliundwa na nia safi ya kuitumikia marekani kama alivyobainisha J.F. Keneddy 1963. Katiba mpya Tanzania inawezekana lakini watakao pewa dhamana watakuwa na DHAMIRA SAFI? Rais Kikwete ameshaweka angalizo tusije unda katiba tukalazimika kuifanyia marekebisho mwaka 1 baada ya kuanza kutumika. KATIBA MPYA INAHITAJI DHAMIRA YA DHATI YENYE UZALENDO NI SI MATAKWA BINAFSI YA MAFISADI
 
Wananchi Tumesikia Hotuba ya JK Akitoa This Time Akiwa Ikulu Kuogapa Wananchi na Chadema Kumfundisha Adabu Tena. Somo Hapa ni Kwamba Huwezi Kuwakandamiza Watanzania Milele Ipo Siku Kama ya Tarehe 31, October 2010 Walishasema Hawawataki na Tumechoka. Hotuba ya JK Ofisini Imetangaza Rasmi DR Slaa Alishinda Uraisi na Walimhujumu Kama Huko Ivory Coast Inavyoendelea. CCM Kama Hawajifunzi Huko Ivory Coast Ilianza Hivi Hivi na Mwisho Wake Ndio Tunachokiona Ivory Coast, Peace Itanunuliwa na Bunduki. Swala Jingine Hapa Ni Kwamba Tuhakikishe Tunapata Nafasi ya Kupigia Hii Katiba Mpya Kura. Hakuna Kukubali Katiba ya Kupigiwa Mhuri wa JK au Bunge la CCM.
Tunawashukuru Sana Watanzania Chadema na Hasa DR Slaa Kuonyesha Nguvu na Ujasiri wa Kutoogopa CCM na Baadhi ya Maofisa wa Usalama wa Taifa Bila DR Slaa Kukubali Kujiunga na Kampeni za Uraisi Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba Yetu. Bila Chadema Kuamua Kuondoka na Kutomtambua JK, Tusingepata Haya Mabadiliko ya Katiba. Demokrasia ya Africa ni Ngumu Sana Kuipata. "Hongera na Asante Sana Raisi Wetu Dr Slaa" Kupatikana na Kukubalika kwa Mabadiliko ya Katiba ni Kuonyesha Chadema na DR Slaa Ndio Washindi wa Viti vya Ubunge na Uraisi.
Tusisahau Kwamba Tumeanza na CCM Hawatakubali Kirahisi Watatumia Kila Njia Kupoteza Muda na Kununua Wajumbe wa Tume.
"Watanzania Sio Wakati wa Kulala Sasa ni Wakati wa Kukaza Mwendo Kumaliza Hili Jukumu na Wajibu Wetu"

Tanzania president pledges new constitution - Yahoo! News
Ushindiniwa wa tz ndowalio wezesha cdma
 
suala la katiba ni la wote na si la chama asilani

tukiingiza siasa basi hatutapata katiba moja
 
Ni kweli,lakini hatuna budi kumpongeza yule aliyejitoa kimasomaso kwa ujasiri,bila woga kuanzisha na kuongoza hoja hii kudai katiba mpya.
 
Taifa lina matatizo mawili , ubovu wa sheria na ubovu wa watawala.
Ubovu wa sheria unaondolewa na mabadiliko ya katiba na ubovu wa watawala unaondolewa na kuwaondoa watawala hao madarakani.!!!
Sasa tupo kwenye mtego , watawala wabovu ndio wanarekebisha katiba mpya na kuunda jo[po , je tutafika???????
 
Jamani msisahau kuwa JK ni msanii, msimuamini sana huyu jamaa hili ni changa la macho. Hii ngoma itapigwa danadana mpaka aondoke madarakani, la msingi wadau tuzidi kutoa mbinyo mpaka kieleweke, tutamwamini vipi mwizi wa kura? Akitaka aaminike aungame kwanza dhambi ya uchakachuaji aliyoitenda.MWIZI NI MWIZI TUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom