Tupeane mix kali za muziki mtandaoni

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
10,808
15,716
Binafsi nikiwa kijiweni kwangu napendelea kuweka mix kali kwani zinanifanya nifanye kazi bila kuchoka kwavile napenda sana muziki, napendelea zaidi muziki mzuri uliomiksiwa na madj wakali kuliko kupiga wimbo mmojammoja.

Kupitia uzi huu tunaweza kusaidiana kushea muziki mzuri uliomiksiwa kwa kupeana links.
 
Hiyo idea nimeipata hata mwezi haujapita. Saizi nachpa mangoma ya dj mix ya gospel.

Hapo nina ngoma za tenzi za rohoni, reggae, nyimbo za kuabudu n.k. Zote ni non stop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom