screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,814
- 15,740
Binafsi nikiwa kijiweni kwangu napendelea kuweka mix kali kwani zinanifanya nifanye kazi bila kuchoka kwavile napenda sana muziki, napendelea zaidi muziki mzuri uliomiksiwa na madj wakali kuliko kupiga wimbo mmojammoja.
Kupitia uzi huu tunaweza kusaidiana kushea muziki mzuri uliomiksiwa kwa kupeana links.
Kupitia uzi huu tunaweza kusaidiana kushea muziki mzuri uliomiksiwa kwa kupeana links.