TUNTEMEKE, Mbaya wako CHADEMA ni nani?

Ndugu wanajamvi,

Kwa hali yoyote ile huyu TUNTEMEKE ni MSALITI lazima afukuzwe kwenye chama. Kama ni mtu zaidi ya mmoja anatumia id hii lazima wote wafukuzwe.

Adhabu ya MSALITI ni kufukuzwa, awe anatumiwa Au kwa mapezi yake lazima afukuzwe.

Kumlea huyu jamaa ni kulea nyoka ndani ya nyumba.

Anachodai uhuru Wa kukosoa si sahihi. Huu ni usaliti. Hata Kama huridhiki Na viongozi waliochaguliwa kuongoza chama ( kwa sababu viongozi hawachaguliwi Na Watu Au wanachama wote) subiri uchaguzi Mwingine utapata nafasi ya kuchagua tena. Na si lazima kiongozi wako unayemtaka ndie ashinde. Anayechaguliwa huyo ndie kiongozi wako. kuendelea kumsema vibaya tena hata kutukana viongozi wako kwa kisingizio cha demokrasia au uhuru wa kukosoa hii haikubaliki.

Haiwezekani wenzako wawe kwenye harakati za kujenga chama wewe uko kwenye harakati za kubomoa chama Na kujenga makundi ndani ya chama kwa maslahi ya Watu binafsi!

Kikao kijacho TUNTEMEKE Na vibaraka wote OUT.
 
vijana tusipoangalia tutabaki kutumiwa na watu wachache kwa ajili ya kutimiza malengo yao ya kisiasa kwa hiyo naawasa vijana wenzangu tuachane na siasa za majitaka ambazo hazijengi chama bali zinakibomoa.
 
Natoka Kigoma... Nimeaga kwetu... Nitakufa kwa amri ya Mungu... Siogopi kufa. ..Iwapo kifo changu kitatokana na mkono wa mtu, sidhani kama kwa mtu huyo kama hata panya atabaki nyumbani kwao. (Zotto Kabwe - Mbunge Wa Kigoma Kas 2012).
Leo asubuhi nimekuta panya kibao wamekufa jikoni, ndio umeanza nini mkuu wangu??

Mi nlikua natania tu kaka
 
Tuntemeke ni mchumia tumbo anayedhani anaweza kusambaratisha chama.Nilishamwapia kwamba hilo katu hataweza.Aende kwa mabwana zake wanaomtuma awaambie CDM tuna imani na Dr Slaa & Freeman Mbowe.Apende,asipende hawa ndiyo watatuvusha salama 2015.
MIMI HUYU BWANA TUNTEMEKE nimemfahamu ni bahati mbaya anatoka kwetu IRINGA lakini sidhani kama yuko sawa kwa sasa. nahisi ameathirika kisaikolojia somehow anahitaji msaada. kwa maoni yake anasema wanachadema wanamuunga mkono kwa huo uharo anao uandika sijui huo ushahidi anaupata wapi? binafsi namshauri apumzike siasa ili kichwa chake kirudi kuwa normal. amedhalilisha CHAMA sana na wakinga kwa ujumla,
 
kama umefuatilia mabandiko yake kwenye blogu yake utajua huu mpango alikuwemo toka wanaanza. jina lake ni festo richard sanga

JINA la watu walio kwena shule lakini kapewac mhuni, msaliti na asiye na maana hata kidogo.halafu anasema yupo pamoja na sisi wana CHADEMA safi hadi dahali wakati anatoboa boat yetu kwa chini anatuombea tuzame! kweli huyu mtu ni kidudu mtu na ZZK wake. MUNGU ATUSAIDIE ATUPE UJASIRI TUWAMWAGE WOTE tukianzia na ZZK, TUNTEMEKE, JULIANA NA MASALIA WOTE.
 
Back
Top Bottom