Pongezi za dhati kwa jeshi la polisi, shukrani kubwa kwa CHADEMA digital. Maandamano yatafanyika kama yalivyopangwa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,634
697,845
Kuna upande ukiambiwa CHADEMA ni akili kubwa wanaishia kubeza, kudhihaki na kukejeli
CHADEMA daima ni watu wa kujifunza, wakiangalia walikotoka, walipo na waendako! Walipokosea na walipopatia.. Wapi pa kufanya maboresho na wapi pa kurekebisha!

Yapi ya kuyaacha na yapi ya kuendelea nayo haya na mengineyo yameisaidia CHADEMA kukua, kuenea na kukomaa kisiasa, kijamiii, kisera, kimono nk.

CHADEMA ni msingi na CHADEMA digital, haya mawili yamekisaidia chama kukita mizizi yake hadi chini kabisa na kutengeneza mtandao uliosimama vema na wenye misingi imara sana!

Kwasasa CHADEMA haihitaji NGUVU nyingi kutangaza jambo lake kwa wanachama wake! At a click ndani ya muda mfupi kabisa mamilion ya wanachama wa CHADEMA wanakuwa wameshapata taarifa kusudiwa isiyochakachuliwa!

Kwa mara ya kwanza katika historia ya vyama vya upinzani nchini jeshi la polisi limeridhia kutoa ulinzi kwa waandamanaji kwa kufanya kikao cha masaa mengi na viongozi wa CHADEMA.. Pongezi kubwa na nyingi kwa jeshi letu hili.

Hili halijatokea kwa bahati mbaya hata kidogo! Kuna Kazi kubwa sana imefanyika usiku na mchana! Kujituma na kujitolea kwa moyo Wote kwa wahusika Wote! Hard work pays...! Lakini pia think tank kubwa ya CHADEMA na misimamo isiyoyumba yote haya yamechangia kwa kiwango kikubwa mno mafanikio ya haya maandamano!

Wale wote waliobeza kukejeli na kutoa vitisho wamesamehewa in advance. Wale vyama mamluki pia nao wamesamehewa.. Viongozi wa dini akiwemo wa KKKT naye tunamsamehe bure maana hawajui walitendalo

Kwakuwa tumetangaziwa kuwa na majeshi yetu ya ulinzi na usalama siku hiyo yatafanya usafi .. Basi kwa roho safi kabisa waandamanaji wako tayari kushiriki shughuli za usafi Huku wakiandamana!

Wasiwasi wangu ni kama kweli majeshi yetu yanaweza kushiriki zoezi la usafi kwa agizo la raia.. Lakini yote kheri..

Kwakuwa tuko count down kuelekea maandamano ngoja niishie hapa.. Asanteni sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JamiiForums442997317_236x211.jpeg
 
Angalau kikwazo hiki hakipo. Sasa je kutakuwa na waandamanaji? Maana WaTz kwa kweli ni shida!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
hahah muungano wa chadema na ccm, hivi adui yenu ni nani haswa mpaka ccm, kkkt na chadema mnaungana? Inaelekea mnapambana against a very powerful force, ngoja tuone huko mbele, lkn nijuavyo mimi kama mlikula vya wakubwa mtavilipa tu, hao jamaa hawana usanii, makubaliano ni makubaliano …
 
Back
Top Bottom