Richard mtao
JF-Expert Member
- May 13, 2018
- 209
- 236
Habari wana JF,
Kwa siku na hizi karibuni nimeendelea kujifunza na kugundua asilimia kubwa ya wanachama wa chadema hawajui Siasa safi.
Nasema hawajui kwasababu wengi wao wamegeuza siasa kuwa kama vita.
Yaani Utakuta mwanachama wa hiki chama anachukia mtu mwingine kuingia chama kingine especially CCM, sasa unajiuliza watu wa dizaini hii wanajitambua kweli? au ndo wale wale wazee wa mihemuko?
Ukifatilia posts nyingi za wanachama wa chama cha mapinduzi zinazoonyesha ni kwa namna gani wanakisifia chama chao pamoja na juhudi kubwa zinazofanywa na serikali inayoongozwa na chama cha mapinduzi, utakutana na mtu wa chadema akitukitana, akiponda badala ya kuweka hoja zake mezani ili zijibiwe ipasavyo.
Nashauri tu Ndugu zangu wa chadema tambueni Tanzania ni nchi inayoendeshwa kwa Mfumo wa vyama vingi, mbali na hilo sisi wote ni wamoja ni Watanzania itikadi zetu zisitufanye tuchukuliane vibaya. Badala yake itupe fursa ya kujengana kwa hoja na kushauriana na sio kushambuliana kama maadui.
Na pia ifike mahali mkubali kwamba kwasasa hamna sera, mmebaki kubwabwaja huko mitaani, na nawahakikishia mkiendeleea hivi 2024 uchaguzi wa serikali z mitaa tutawaburuza mpaka mjikubali hamjui siasa na hamuwezi kuongoza.
Sasa kubwa lao tutawapiga kipigo cha mbwa mwizi 2025. Na hii ni kwakua hamna sera, kazi yenye saiv ni kupiga kelele tu na uzuri wananchi skuizi waelewa sana. Wanafahamu uongo wenu na jinsi mnavyojua kubadili mambo ili kupata attention yao hahahha.