Tunduru: Gari ya mchungaji, mfuasi wake pamoja na nguruwe 6 wachomwa moto

serikali yetu ilishaamua kujikita katika mambo yasiyo na msingi na kuacha yale ya msingi. ndio haswa kitu serikali hii inafanya.
halafu wakija kupewa taarifa wengine wanajitia kulia mbele za watu, yani haileti maana
 
Chanzo cha matukio haya hakipo wazi isipokuwa kuna watu wanahamasisha chuki za kidini,lakini kwa tanzania ya leo hili si jambo la ajabu kwa kuwa inasemekana hawa ni wale wale wana uamsho,wazee wa mwembe chai na mabucha ya nguruwe dar enzi za mzee ruksa.ule mche bado unastawi.kuna askari mmoja amenieleza kwamba hawa watu wametoka nje ya tunduru kwa ufadhili maalum na wanashirikiana na baadhi ya wenyeji ktk kazi hiyo ya uhalifu,na polisi bado hawana taarifa za kutosha hasa juu ya namna ya kuwatia mbaroni.mpaka sasa inakadiriwa nguruwe wenye thamani isiyozidi milioni 20 wameteketezwa,kabla ya magari mawili yaliyochomwa usiku wa jana kuamkia leo.

sasa mkuu we umeleta habari hata chanzo haujakijua bado na unaanza kutuhumu mara uamsho, mwembechai, sijui wanafadhiliwa, unalengo gani kama sio kuongeza chuki za kidini?

Halafu unatoa shutma nzito hivi na watu wanashabikia bila hata kuhoji kisa nini?

Umejitambulisha kuwa wewe ni muislam lakini uislam haufundishi hivyo,
UISLAM HAUMRUHUSU YOYOTE YULE KUSEMA JAMBO ASILO NA ELIMU NALO.

Kafanye uchunguzi uje na habari kamili, sio unawatuhumu watu burebure.
Huu uzi ni wa kufungwa kwakuwa umekiri haujui ulicho kiripoti, unaongeza chuki za kidini.
 
Kitu kizuri na Cha Faraja Ni vile WAkristo Ni Wanyenyekevu na wanafundisha kwa UwaZi zaiDi 'Upendo' na wAna Ushirika Mkubwa na Jamii..

So then,
Kuna kitu Kinamiss kwa WAislam na Msingi mzima wa KufundiShana dhima Kuu 'Upendo ..

Si zama za JIhad , ama Mtu. Kupoteza Mali hAta Jicho Lake ama Kulinda Territory yake...Ni KufundishAna Kweli Ya Mungu na Matakwa yake

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
wadau mimi kama mpenda amani,jana niliweka uzi hapa jamvini kuelezea matukio ya uchomaji moto mazizi ya nguruwe ambayo yameanza wiki 3 zilizopita.katika muendelezo wa matukio haya juzi makanisa mawili yalinusurika kuchomwa na leo hii tar 26/09/12 gari mbili zimechomwa moto moja ikiwa ya mchungaji na nyingine ni ya mkristo wa kawaida,sambamba na hilo zizi ambalo lilikuwa na nguruwe 8 limeteketezwa.

Jambo la kustaajabisha pamoja na matukio haya kutishia amani na uwezekano wa kutokea machafuko ya kidini hakuna hatua inayochukuliwa na serikali wala hakuna kiongozi yoyote aliejitokeza kulaani jambo hili.

My take:amani ni jambo jema kwa hiyo serikali ichukue hatua za haraka kukomesha hali hii kabla haijafika hatua ngumu maana wanaotendewa mambo haya nao sasa wanaanza kufikiria namna ya kulipa kisasi wenyewe baada ya kuona serikali haichukui hatua yoyote.

Mungu ibariki Tanzania.

.
Hayo ni matunda ya kazi aliyo asisi Jk mwaka 2010. Baada ya kuzidiwa kihoja na kwa kila kitu na wapinzani wake wa kisiasa, alikimbilia msikitini kueneza mbegu ya udini kama karata yake ya mwisho ya kujinusuru. Ni raisi atakaekumbukwa kwa kuichinjia mbali misingi ya waasisi wa taifa hili ya umoja na mshikamano. Na mkuu wa nchi mwenye imani ya kujikinga kwa waganga na kwa sababu dini yake inaamini katika hirizi haimpi shida na wala hajutii. Majuto makubwa ni kwa wale wenye kuhofu na kumcha Muumba kwa unyoofu wa moyo. Hivyo raisi tuliye naye sasa ni mahsusi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya mapigo. Umeona na kusikia habari za kuchomwa makanisa na kuuawa kwa baazi ya watumishi wa Mungu, mfano wa mwinjilisti Arusha lakini hebu weka hapa kauli ya raisi wetu juu ya vitendo hivi vya hatari. Hakuna karipio wala kimeo maana naye ni mmoja wao. Sasa hivi nchi yetu imefikishwa mahali pabaya sana pa ukosefu wa maadili. Wanawake wamepewa uhuru wa kutembea uchi mabarabarani, wametegwa katika mikopo ya cash bila elimu ya biashara na sasa wamegeuzwa watumwa majumbani mwao, kisa ni uongozi wa nchi unaoiga lifestyle ya mataifa tajiri kama marekani wakiwa katika hali ya umaskini wa kutupwa. Eti mayaya nyumbani na Bar-medi walipwe kima cha mshahara wa chini wa serikalini pasipo kufikiri ikiwa mfanyakazi wa chini serikalini atapaswa ampe yaya wake kiasi chote cha mshahara wake. TUNZANIA TUSIPOJITATHMINI KWA SASA NA KUMWOMBA SANA MUNGU NA KUYAUNGAMA MAOVU YETU, TUNA WATAWALA SASA HIVI AMBAO WAPO TAYARI KUIINGIZA NCHI KATIKA VITA YA WENYEWE.
.
 
jamani tutumie busara kdg, hakuna anaependa udini awe muislam au mkristo.
Mleta mada toa ufafanuzi tafadhali, hayo matukio yameanza lini, chanzo ni nini?
Ungetufafanulia manake binafsi hizo taarifa sijazisikia hata kwenye chombo kimoja cha habari.
Siamini kama kuna mtu yoyote mwenye akili timamu anaeweza akafanya hayo uloeleza bila sababu.0ungetoa taarifa kamili bila upendeleo tuweze kujadili vzr manake taarifa yako ya awali inaonekana kuelemea upande mmoja.

Pili hakuna sehemu yoyote katika mafundisho ya uislam panapofundisha kudhulumu, kuharibu mali ya mtu au kuu asie na hatia.
Anaefanya hivyo kakiuka misingi ya uislam na anapaswa ahukumiwe kama mhalifu mwingine na si kuhukumu dini yake kwani uislam haufundishi hivyo.
Umenena, lakini Takbirrrrrrrrrrrr inatamkwa na watu wa dini gani? Maana wanajifanyaga wao kama Morani wa kimasai wanapandisha mori ili waweze kufanya walioyakusudia. Viongozi wa dini hiyo inayoshutumiwa mbona wapo kimya? Kuna nini hapo au waliwatuma?
 
sasa mkuu we umeleta habari hata chanzo haujakijua bado na unaanza kutuhumu mara uamsho, mwembechai, sijui wanafadhiliwa, unalengo gani kama sio kuongeza chuki za kidini?

Halafu unatoa shutma nzito hivi na watu wanashabikia bila hata kuhoji kisa nini?

Umejitambulisha kuwa wewe ni muislam lakini uislam haufundishi hivyo,
UISLAM HAUMRUHUSU YOYOTE YULE KUSEMA JAMBO ASILO NA ELIMU NALO.

Kafanye uchunguzi uje na habari kamili, sio unawatuhumu watu burebure.
Huu uzi ni wa kufungwa kwakuwa umekiri haujui ulicho kiripoti, unaongeza chuki za kidini.

Wewe nawe ni uamsho nini?kipi ambacho hujaelewa nikuandikie ubaoni?
 
wadau mimi kama mpenda amani,jana niliweka uzi hapa jamvini kuelezea matukio ya uchomaji moto mazizi ya nguruwe ambayo yameanza wiki 3 zilizopita.katika muendelezo wa matukio haya juzi makanisa mawili yalinusurika kuchomwa na leo hii tar 26/09/12 gari mbili zimechomwa moto moja ikiwa ya mchungaji na nyingine ni ya mkristo wa kawaida,sambamba na hilo zizi ambalo lilikuwa na nguruwe 8 limeteketezwa.

Jambo la kustaajabisha pamoja na matukio haya kutishia amani na uwezekano wa kutokea machafuko ya kidini hakuna hatua inayochukuliwa na serikali wala hakuna kiongozi yoyote aliejitokeza kulaani jambo hili.

My take:amani ni jambo jema kwa hiyo serikali ichukue hatua za haraka kukomesha hali hii kabla haijafika hatua ngumu maana wanaotendewa mambo haya nao sasa wanaanza kufikiria namna ya kulipa kisasi wenyewe baada ya kuona serikali haichukui hatua yoyote.

Mungu ibariki Tanzania.

Let's keep telling the truth aboutIslam. If the Muslims don't like it, too bad. They choose the prophet ofviolence and the religion of violence. It is their problem, not ours. We shouldnever allow ourselves to be intimidated into silence by seventh century thugs.
 
wa tunduru fanya uchunguzi sahihi wa taarifa yako [kwanza idadi uliyotaja si sahihi pili hoja yako inaenda kidini moja kwa moja ukiwa na maana tukio hili waliofanya ni waislam bila kuwa na ushahidi kamili. Labda tukujulishe kwa taarifa isiyo rasmi matukio haya yanayofanyika ni wenyewe kwa wenyewe wana ugomvi kwenye saccos zao.....kwa kukujulisha zaidi idadi ya nguruwe waliochomwa jumla ni 68 majerui 23 na polisi wanaendelea na uchunguzi tuwaachie kazi yao
 
nadhani hawajui wanchokiabudu maana kama wangejua kuwa waliumbwa na Mungu wangemwabudu mungu aliyehai lakun bahati mbaya hawajui lolote juu ya wanachoamini.

ssshhhhhhhhh! taratibu watakusikia aiseeee
 
Watunduru, unaweza hata ukatembea barabarani huku ukimtukana mungu au kristo watu watasikitika tu, ila ukigusa imani nyingie utauwawa, si imeandikwa usihukumu? Waache hata wakiua mtu na kuamini wanalofanya ni sahihi, siku itakuja wote tutahukumiwa, na pia rejea amri 10 za mungu, utagundua baadhi ya watu hao wanaharibu sifa ya dini
 
wa tunduru fanya uchunguzi sahihi wa taarifa yako [kwanza idadi uliyotaja si sahihi pili hoja yako inaenda kidini moja kwa moja ukiwa na maana tukio hili waliofanya ni waislam bila kuwa na ushahidi kamili. Labda tukujulishe kwa taarifa isiyo rasmi matukio haya yanayofanyika ni wenyewe kwa wenyewe wana ugomvi kwenye saccos zao.....kwa kukujulisha zaidi idadi ya nguruwe waliochomwa jumla ni 68 majerui 23 na polisi wanaendelea na uchunguzi tuwaachie kazi yao

Taarifa yako imechakachuliwa Mtu mmoja pekee kachomewa nguruwe 80 we utasemaje hadi sasa idadi ni 63?hii nchi bwana!!!
 
Hawa kimsingi hawako kwa ajili ya dini kwa sababu uislam unafundisha amani,upendo na kuvumiliana,hawa si waislamu,mtume alipigana vita kujihami na kwa kuwa alizuiwa kuabudu na alinyanyasika kwa sababu ya dini,hawa ansar sunna hawajakatazwa kuabudu na hawana sababu ya msingi kuleta machafuko,isipokuwa hawa ni magaidi na hawana uhusiano wowote na dini tukufu ya islam iliyosheheni mafundisho ya kistaarabu,hawa sio dini,hawa sio siasa,hawa ni wauaji.

Uislam unasisitiza aman yeyote aletaye fujo na kuua kwa kisingizio cha uislam amepotoka
 
tupe sababu ya hizo vurugu, na vipi dini inashambuliwa imechukuwa hatua gani?

mleta uzi hajatoa taarifa za kutosha kwasababu mwenyewe hajui kinacho endelea, angali ktk post zake utaona kaeleza mwenyewe.
Nimemshauri akatafute taarifa kamili kwanza kabla ya kuongea ananiita mi uamsho, sasa nashangaa alikuwa anatarajia kila atakacholeta jf watu wakiamini tu bila kuhoji?
 
Wewe nawe ni uamsho nini?kipi ambacho hujaelewa nikuandikie ubaoni?

aja jazba, leta taarifa ilokamilika na sio vipande vya habari.
Hii habari ipo nusu mkuu, kajipange vzr ujetena, usikurupuke.
 
wa tunduru fanya uchunguzi sahihi wa taarifa yako [kwanza idadi uliyotaja si sahihi pili hoja yako inaenda kidini moja kwa moja ukiwa na maana tukio hili waliofanya ni waislam bila kuwa na ushahidi kamili. Labda tukujulishe kwa taarifa isiyo rasmi matukio haya yanayofanyika ni wenyewe kwa wenyewe wana ugomvi kwenye saccos zao.....kwa kukujulisha zaidi idadi ya nguruwe waliochomwa jumla ni 68 majerui 23 na polisi wanaendelea na uchunguzi tuwaachie kazi yao

mkuu j, mleta uzi kakurupuka, ukimwambia akafanye uchunguzi kwanza anakuwa mkali.
 
bora umeona mkuu, jf nayo imekuwa kijiwe cha porojo.
Watu hata hawahoji wapate taarifa za kutosha wanakimbilia kulaumu na kumwaga povu.

nishakuona toka mwanzo naongea dini yako lazima uitete hata ukiona ina mavi usoni utasema mafuta ya mgando yaani mnashari mpaka mnajilipua kweki ni dini hii INOCENT MUSLIMS mnatuchokonoa ili tuprovoke then mseme mfumo kristu tumefunzwa ukipigwa shavu la kushoto geuza la kulia wepi hapa ni wapenda amani. tuvumiliane.
 
wewe tumekuchagua piga simu then utuletee taarifa iliyokamilika hapa jukwaani, sasa kama una habari nusu nusu kwa nini huzikamilishi kwanza, tuelezee chanzo cha machafuko mkuu.

mfumko kristu sio
 
Watunduru naona hapa umekosa hoja, sorry, nimeshindwa kukuelewa, kukupata na kukutetea pia.

Unless utuambie kilichotokea kwa kwa undani na some element za evidence.
Toa story kamili yenye details. Ukiweza weka picha.....weka maelezo ya polisi na weka maelezo ya waathirika na viongozi wa vijiji na mitaa.

Short of that, hii ni ngumu kumeza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom