Tunduru: Gari ya mchungaji, mfuasi wake pamoja na nguruwe 6 wachomwa moto

huyo hapo
Sasa hapa sijui wataichoma mote JF? Au wataenda barabarani kuandamana JF ifungiwe kwa kuruhusu picha ya kitimoto. Ama kweli Yesu ni Mkombozi makini! Kweli ikiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli. Ukiona mtu akili yake haiko huru ujue ukombozi wa Kristo Yesu unambishia mlangoni, aseme kwa upole, "Karibu Bwana, nipo hapa nakusubiri uniokoe na mimi usinipite Mwokozi" Tayari kwa kauli hiyo Mungu hajiulizi mara mbili anakukumbatia na kukuandika jina lako kwenye kitabu cha walio wachanga wake na kukuanzishia darasa la namna ya kutembea katika Yeye kwa ufanisi. Hakuna madhara tena kwako, hata kama vibakuli vikikurushia majini kwa njia moja nayo yatakimbia kwa njia saba kujiokoa, kama wale maalfu ya majini walioomba wasimalizwe lakini waruhusiwe kuwaingia wale vitimoto maalfu ambao Yesu aliporuhusu ili mtu mmoja apone, yakapagawa na kuingia baharini hadi kuzimu kwa aliyeyatuma. Uliho nkoi? Seba akujiwe gete ng'wana wane.
 
kama sir Ferguson !

hapana huyu si ndie yule aliyefukua kabuli na mbwa wakaja wakaila mikono yake jamaa yenu mwalimu wa magaidi Hadi leo mmeacha kumla mnyama na wala kufuga mbwa zamani mlikuwa mnamla huyu mnyama hahahahaha
 
wapo binadamu wanaokula kunguru na hao funza na hawadhuliki na kitu chochote kwani wakrito toka wameanza kula nguruwe ni miaka mingapi na wamedhurika na nini???kuna watu wanagonga mbwa hadi panya na hawaathiriki na chochote
Basi kula hata kunguru si kiumbe cha Mungu pia!! hata funza we kula tuone ubishi wako
 
..........nyie si mmejitia wazimu ! ati mungu mmemuona na ana mtoto ! mara wako na babake, sasa wewe uwe na,mtoto na mungu nae awe na mtoto ?!


Jibu swali weye..Mungu unaye muabudu wewe yule anyekaa pale Al Kaaba ndiye huyo huyo Mungu anayeabudiwa na Wakristu? Wacha kumbwela mbwela!
 
hapana huyu si ndie yule aliyefukua kabuli na mbwa wakaja wakaila mikono yake jamaa yenu mwalimu wa magaidi Hadi leo mmeacha kumla mnyama na wala kufuga mbwa zamani mlikuwa mnamla huyu mnyama hahahahaha

uvivu unawasumbuaga ndg zangu! Kwan wangechmba kaburi lenye kina kirefu muddy angefukuriwa na nani?
 
Jibu swali weye..Mungu unaye muabudu wewe yule anyekaa pale Al Kaaba ndiye huyo huyo Mungu anayeabudiwa na Wakristu? Wacha kumbwela mbwela!
na uzuri wenyewe MUNGU hana dini...MIDINI HII inayotupa shida ni ulevi tu kama ulevi mwingine ila ulevi hutofautiana asa kama umelewa sana tilalila...chakari...ndo unaanza kufanya mambo ya ajabu kama mlevi mwingine yeyote yule wa kilevi
 
Back
Top Bottom