Tundu Lissu: Tuna Rais Mzanzibari anayeweza kwenda Ngorongoro na kutoa Amri kwa Wanajeshi wafukuze wamasai wote

"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wamepele Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."

"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuburuga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"

"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minyingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"

"Mimi minetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"

Pia soma:

HAHAHA .kipindi kileeee walisema tuna rais wa hovyo haijawahi tokea ,tena muhutu kutoka burundi sijui rwanda.lissue aishiwi na maneno ya kukera
 
JamiiForums1327454580.jpeg
 
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wamepele Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."

"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuburuga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"

"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minyingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"

"Mimi minetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"

Pia soma:
Ccm hakuna hata mmoja wa kujibu hoja za mh lissu, kauli moja tu ccm na machawa wamejificha pasipo julikana
 
004 aligawa gesi yetu Kwa wageni na hakuwa mzanzibari.

Ingawa Pana kiwango Fulani Cha UKWELI sababu bandari zetu wamepewa waarabu while za Zanzibar hazikuguswa.

Huo ni mkanganyiko wa kikatiba.
Na Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa David Msuya hivi karibuni ameongelea Bandari kuwa sehemu ya Muungano na haja ya kiumganisha Mipango ya Bara na visiwa ya maendeleo, sio huku Sisi tunakodisha Bandari zao hazi kodishwi. Na Wana hisa wa Bandari yetu ndio hao wanatoka upande wa pili
 
Nawaomba Chadema katika maandamano yenu na dai la Tanganyika msilisahau kabisa.

Nawaomba sana Chadema mapambano yakiongozwa na Lissu mzidi kugongelea msumari kuhusu Tanganyika na muungano huu wa mchongo.

Naona wanafiki wameanza toka mashimoni.

Kwa nini kuidai na kuizungumzia Tanganyika ionekane haramu hata kwa Watanganyika wenyewe ? Kama sio upumbavu huu ni nini ?

Lissu shikilia hapo hapo natumahi mwabukusi ataongeza nguvu.
 
"Leo tuna miaka 60 tukiitwa Tanzania, ndiyo maana tuna rais ambaye ni mzanzibari, siyo mtanganyika. Anaweza kwenda ngorongoro akatoa amri kwa wanajeshi hawa, akasema fukuza wamasai wote ngorongoro wamepele Msomera Handeni, 547Km kutoka ngorongoro."

"Huyu rais Mzanzibari siyo Mtanganyika, hajazaliwa upande huu, miaka 60, huyu mzanzibari anaweza kutoka alikotoka akaja kuburuga watu huku. Kusingekuwa na huo muungano asingefanya hivyo kwasababu asingekuwa rais wetu"

"Na siyo ngorongoro tu, sasa wanasema Longido yote, Monduli ya mbugani yote, ule upande wa kwenda Siha nyuma ya mlima Meru yote ile, Simanjiro yote mpaka huku minyingu na maeneo mengine ya wafugaji yote. Wanasema hivi, na haya maeneo wanapanga kuyafanya kuwa mapori tengefu na wakiyatenga kuwa maeneo tengefu maana yake wamasai wanafukuzwa kote"

"Mimi minetembea nchi hii mwaka jana, kila mahali ni kilio cha ardhi, nchi hii kuna kilio kikubwa cha Ardhi nchi nzima na sababu ni moja, rais anaamuru watu wake mapolisi, DC, wanajeshi wahamishe wananchi"

Pia soma:
Duh
 
Back
Top Bottom