Tundu Lissu noma, auliza swali jipya bungeni, waziri ashangaa ashindwa kujibu

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,263
Hee leo nimeona maajabu ya bunge baada ya mh waziri kushindwa kujibu swali la mh Lissu kwa madai eti ni SWALI jipya, kumbe serikali inataka maswali ya zamani tu.

Hili lilikuwa swali la nyongeza, ambapo Mh. Lissu alisimama na kuuliza kwa kuwa Sheria yeyote ya Hifadhi ya Misitu inatakiwa kutangazwa kwenye gazeti la serikali, Je, Ni Tarehe gani, mwezi gani mwaka gani, ilitangazwa sheria ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Msitu ulioko Singida mashariki
 
Basi nafikiri tunahitaji wenye maswali mapya, hayo ya zamani si majibu yake ya kutudanganya wanayo tayari?
 
Utaratibu ni kwamba Maswali hupelekwa mapema ili yatafutiwe majibu ya kina kabla muhusika hajaingia bungeni, kwa mfano kuna maswali yanahitaji mpaka analysis of data je laweza kujibiwa papo kwa papo?. Kama lilikuwa ni swali la papo kwa papo basi hawajamtendea haki Lisu.
Ni mtazamo tu
 
lile swali linahitaji upitie kupata uhakika zaidi halikutegemewa hata kama wewe ndio ungekuwa n/waziri tuwe fair kidogo ndio mana hata yeye Lisu alikua anacheka..
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!

Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!

CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.
 
Noma wakikusikia, haujui wako kiPosho zaidi kuliko kutumikia jamii?

Usimwogope binadamu mwenzio kisa eti yuko bungeni. Majority ya wabunge wetu ni mashabiki tu - hawajui walichotumwa kufanya ndo maana ndg Mess kawaita wajinga.
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!

Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!

CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.

Wapo wanaotaka kuonekana wamechangia hata kama wanachokiongea ni utumbo. Hao tuwakatae 2015. Mchango wa mbunge huyo ni kama porojo za kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Utaratibu ni kwamba Maswali hupelekwa mapema ili yatafutiwe majibu ya kina kabla muhusika hajaingia bungeni, kwa mfano kuna maswali yanahitaji mpaka analysis of data je laweza kujibiwa papo kwa papo?. Kama lilikuwa ni swali la papo kwa papo basi hawajamtendea haki Lisu.
Ni mtazamo tu

NO EXCUSE!!! waziri hajui ya wizarani kwake anafanya nn?
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!

Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!

CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.

Yule Livingstone Lusinde uwezo wake ni mdogo sana, yani alichangia vitu vya ajabu sana
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.
ndicho walichozoea,tusitarajie jipya lenye kujenga kutoka kwa magamba
 
Utaratibu ni kwamba Maswali hupelekwa mapema ili yatafutiwe majibu ya kina kabla muhusika hajaingia bungeni, kwa mfano kuna maswali yanahitaji mpaka analysis of data je laweza kujibiwa papo kwa papo?. Kama lilikuwa ni swali la papo kwa papo basi hawajamtendea haki Lisu.
Ni mtazamo tu

kwa hiyo hata yale wanayodai maswali ya papo kwa papo ya waziri mkuu ni magumashi tu si ya papo kwa papo?
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!

Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!

CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.

......halafu yuko very happy kusign vocha ya posho ya kikao!!!!!!
 
Wamezoea business as usual......ndiyo maana Mbowe kawashangaza wabunge kuacha privileges za uongozi ambazo akina Rashid wa CUF wanazimezea mate... angalau mambo yakienda kama hivi....nchi yaweza songa mbele kidogo....
 
Utaratibu ni kwamba Maswali hupelekwa mapema ili yatafutiwe majibu ya kina kabla muhusika hajaingia bungeni, kwa mfano kuna maswali yanahitaji mpaka analysis of data je laweza kujibiwa papo kwa papo?. Kama lilikuwa ni swali la papo kwa papo basi hawajamtendea haki Lisu. Ni mtazamo tu

Hebu acha uwongo wewe kijana!
 
Hahahaha! kwani wewe jzi hujamsikia yule mbunge wa Mtera akilalamika bungeni kuwa dodoma imelaaniwa kwasababu dodoma kuna gereza la Isanga linaloweka wafungwa wanaotakiwa kunyongwa!!

Halafu akachangia tena kwamba tanzania imelaaniwa Coz imeweka wanyama----specifically Nyoka kwenye note coz nyoka ni alama ya shetani!!!

CCM Hoyeeee!!.................imagine huo ndo mchango wa mbunge wa CCM kwenye budget.
Nakwamba gari la padre wakwao lilikuwa na jinsia ya kiume............ Yarabi toba tepushe na upupu wawabunge hawa!
 
Kama waziri kashindwa kujibu swali kwa kuwa ni jipya basi spika awatangazie wabunge wote kuwa maswali mapya hayatakiwi
na wanatakiwa waulize ya zamani tu,hasa wale wa CDM kama Tundu Lissu,kwani Magamba hawaulizi maswali kazi yao kuzomea
na kupiga makofi ya kimbea.
 
Back
Top Bottom