Tundu Lissu na Wenzake waachiwa kwa dhamana na masharti magumu

yule mkuu wa polisi wa Tarime sijui kama zinamtosha, unawezaje kumzuia Mh. Mbunge kufika sehemu fulani ya Jamhuri ya Muungano wa TZ, HIVI HAWA POLICE TIMAMU KABISA ?

sasa km hilo limewezekana kwa mh. m'bunge akina sisi kajisaidia nani si ndo tunapewa sekunde kuihama dunia kabisa ka hao wenzetu watano waliohamishwa na askari kwa risasi za moto na bado wakaona haitoshi wakaamua kwenda kuitelekeza mizoga yao barabarani ili mbwa na fisi waitafune. INAUMA JAMENI.......
 
Hao wanaomwona Lssu anamakosa tuwe tunawaandika majina pind nchi itakapokombolewa tuanze nao. maana wanahatarisha amani ya nchi yetu kwa sababu ya magamba yao hao. Hawajui maumivu kusomea shule za kata hawa. Wanafaidi dhahabu peke yao hawajawahi hata kwenda kusotea kazi kwa wazungu hawa.

wao si wanaenda kwenye interview na vimemo na ka ni ajira ya serikali wanachagua post na kituo cha kazi! waache tu mwisho wao uko karibu kuliko wakati wowote ule vifisadi wahead!

Pukudu @Ilkiding'a, Arusha
 
Huyo hakimu ni mtanzania kweli?
Sheria gani ambayo inamzuia Mtanzania tena mzaliwa wa Tanzania kutofika kwenye eneo ambalo ni moja ya sehemu ya Tanzania. Na zaidi ya yote serikali ya kijiji iko chini ya CHADEMA. Ama kweli Tanzania iko chini ya cruise remote control mode.
 
huyo hakimu ni mtanzania kweli?
Sheria gani ambayo inamzuia mtanzania tena mzaliwa wa tanzania kutofika kwenye eneo ambalo ni moja ya sehemu ya tanzania. Na zaidi ya yote serikali ya kijiji iko chini ya chadema. Ama kweli tanzania iko chini ya cruise remote control mode.

mkuu ref. Waliohamishwa kwa nguvu na askari polisi kwa mtutu wa bunduki.
 
Unapolewa na siasa za kikandamizaji badala ya kutumia utaalam uliosomea kama mwanasheria madhara yake ni kama ya mtu mwenye ukurutu kwani haufichiki. Hawa mahakimu waliotoa hukumu ya namna hiyo inabidi wakafanyiwe vipimo kwani huku wakijua kabisa mtanzania ana uhuru wa kwenda popote wameamua maksudi kuanzisha siasa za kimajimbo na huu ni ubaguzi.

CCM wanaweza kukumbatia hii kwani ina wapemndelea kisiasa ila in the long run watajuta kwani kila mkoa utapiga marufuku wanasiasa wasiotokea mkoa huo na zaidi sana kuwanyima kura. Matokeo yake ni kila mkoa kuwa na rais wake n.k. Kama kweli mahakama imetoa hukumu ya namna hii ni ishara kwamba nchi sasa haitawaliki na kila mmoja anatoa amri yake ilimradi inaisaidia CCM
Aliyeanzisha ubaguzi wa aina hiyo ni MH.Jakaya KIKWETE wakati wa kampeni alipohusisha wagombea wenzake na kuigia Ikulu wakikanyaga Maiti na hata akisema mambo yakiharibika watakimbia nchi akaendelea hata alipofungua Bunge akasema kuna ukabila udini,na makovu ya uchaguzi,hizo kauli hatarishi hajawahi kuzikanusha,MH.Jakaya KIKWETE legacy atakayoacha nchi hii ni nchi kuingia kwenye vita vya kikabila,kikanda na kidini naomba Mungu amlaani, na mimi ni mtu mmoja wapo nisiyempenda kwa jinsi anavyoharibu nchi yetu,kuthibitisha kwamba ni sera zake za ubaguzi,UVCCM Pwani ambako mtoto wake ni mjumbe walisema Raisi anajina la atakaye mrithi na mtu wa kasikazini hawezi kuwa Raisi
Nape alisema Chadema ni chama cha Wachaga
Constatine Masawe anasema Tarime kuna watu wa Singida wanne,na hajui wanafanya nini
Ndipo alipotufikisha Mh.Jakaya KIKwete tuanulizana sasa makabila,dini,na ukanda ,what a shame,
 
tindu ni kansa kwenye nchi yetu ambayo ni kisiwa cha amani na utulivu..........hakimu mwenye hekima alitakiwa kumzuia kwenda mara kabisa kwa kuwa ni mchochezi wa uvunjaji wa amani na mtetezi wa majambazi


kweli wewe mbumbumbu. Nani mchochezi wa uvunjifu wa amani ? Nyie ccm kweli wote vilaka. Mtu anayetetea wanyonge kwenu ni mchochezi wa vulugu ! Kweli ninyi akili zenu kama kuku.
 
Huyo hakimu ni mtanzania kweli?
Sheria gani ambayo inamzuia Mtanzania tena mzaliwa wa Tanzania kutofika kwenye eneo ambalo ni moja ya sehemu ya Tanzania. Na zaidi ya yote serikali ya kijiji iko chini ya CHADEMA. Ama kweli Tanzania iko chini ya cruise remote control mode.
Jana nilimsikia Baba mmoja mfiwa kwenye TV akisema Tundu Lissu ni mwanasheria wake ndie atakaye mtetea sasa Hakimu wa Tarime anamamlaka ya kumzuia mwananchi asichague wakili anayemtaka, Ha ha ha wanadhani sisi wote ni mazuzu,tumefika hapo,hakimu hajitakii mema ndio Tumeletea Chief Justice,Kipenzi cha Jakaya ili aweze kupindisha uendeshaji wa mahakama,halafu wanalalamika kwa nini wananchi hatuamini mahakama zetu tena,Haki ipo wapi
 
Cilir, T.Lissu ni mwanasheria na anaielewa vema hiyo katiba unayoisema. Anayo haki kisheria kupinga mashariti hayo ya dhamana mbele ya mahakama.. Kama kweli si haki yake kupewa mashart hayo kwanini asifanye pingamizi hilo?? Kwakuwa yupo na namba zake zipo wasiliana naye ili akupe ufafanuzi nawe uweze kutuelewesha.
 
Kweli,kikwete ni nyoka!
anatema sumu wazi wazi sasa na inasambaa
kwenye mwili wa Tanganyika!

1.Alianza na udini,ame fanikiwa kutega bomu na anasuburi kupress button lilipuke!
2.Akatuma viwavi jeshi waeneze ukabila,nape kaifanya hiyo kazi vyema,...
na sasa wanaendelea kutega mabomu kila kona ya nchi.
3.Jana kaibuka massawe kule tarime,ametuonesha sumu aliyopewa
kuieneza yeye,ya ukanda!
kama hajui basi ni kama ametonesha kidonda,...

Mabomu haya yatakapo lipuka,naomba Mungu nisiwe Tanganyika kuya shuhudia,atleast
niwe kenya kupokea watakao kua wanakimbilia huko!

Nitamkumbuka JK kwa kuwa na sumu kali kiasi hiki,
raisi anae bomoa nchi yake mwenyewe mithiri ya charles logan!!!
 
Hii ndio Tz ya ccm , ila wana muda mfupi kuexrcise hizo sheria zao za kisiasa ni cio za vitabuni mwisho wao ni 2015. Hatutakuwa na msalia mtume.:A S 103:
 
Wana JF,

Namfahamu sana Hakimu Ruboroga ambaye anaiendesha kesi hiyo inayowahusu wapigania uhuru wa kweli wa nchi yetu. Alikuwa ni moja ya vilaza wakubwa katika darasa lao, mwendo wake ulikuwa ni ku clear kwa B plain au C, na alipomaliza mwaka wa nne bila kuwa na supplementary, alikwenda kulala katika moja ya hoteli zilizopo hapa mjini,ikiwa ni njia yake ya kusherehekea kutokamatwa kwake.

Kwa hiyo pia hii inaonesha kuwa ni kiasi gani anaweza kutumiwa na hivyo asiwe independent katika kufikia maamuzi yake. Kwa mfano, uamuzi alioutoa wa kumzuia Lissu kuonekana Tarime unapingana na Ibara ya Katiba na sheria mbalimbali za kimataifa ambazo Tanzania imeridhia zinazoongelea freedom of movement. Yaani kama uamuzi huo ukikatiwa rufaa,basi utakuwa quashed

Nawasilisha
 
Japo sijui sheria na sijui kama Lissu alifanya kosa, lakini nafikiri masharti ya namna hiyo yanawezekana wala msimbeze hakimu. Hakimu yeye ana deal na mashitaki hadili na nini kinachosikika mtaani.

Hata yule jamaa wa IMF kazuiwa kutoka ktk maeneo yale mpaka mkewe amekodi nyumba.

Ushuzi mtupu.
Huyo jamaa wa IMF si raia wa US na kumbuka kuwa alitolewa ndani ya ndege muda mchache kabla ndege haijaruka kuelekea kwao Ufaransa. Alizuiwa kuondoka kwa sababu US na France hawana mkataba wa kubadilishana au kukabidhiana watuhumiwa au wahalifu.
Lissu pamoja na kwamba si mzaliwa wa Tarime, anao uhuru ambao hauwezi kuwa questioned na taasisi yoyote ndani na nje ya nchi kutembelea hata kuishi sehemu yoyote ya ardhi ya Tanzania. Kumzuia Lissu kufika Nyamongo ni mambo ya kuleta ukabila na suala kama ni hilo basi Chagonja, Massawe wanatakiwa na wenyewe kuondoka huko.
 
Cilir, T.Lissu ni mwanasheria na anaielewa vema hiyo katiba unayoisema. Anayo haki kisheria kupinga mashariti hayo ya dhamana mbele ya mahakama.. Kama kweli si haki yake kupewa mashart hayo kwanini asifanye pingamizi hilo?? Kwakuwa yupo na namba zake zipo wasiliana naye ili akupe ufafanuzi nawe uweze kutuelewesha.

Hana hata sababu ya kupinga mahakamani kwa sababu ni haki yake ya kikatiba inayosema Mtanzania yeyote anayohaki ya kuenda sehemu yeyote ya nchi limradi havunji sheria ya nchi ,yeye amevunja sheria gani.

Eneo alienda ni sehemu yake ya kazi ni waziri kivuli wa Katiba na sheria,ni wakili,atazuiwaje na mahakama bila kuthibitisha kwamba alitenda kosa,haiingii akili,kama IGP Mwema shemeji ya KIkwete anadhani sisi watanzania tunatalii kwenye nchi yetu tunamwambia amekosea sana.

Kama MH.Jakaya Kikwete anadhani atatumia udikteta wa kijinga wa aina hiyo anajisogeza kwenye mgogoro mkubwa na wananchi,kama wanaipenda nchi hii na niwazalendo busara inatakiwa kutumika vinginevyo watajikuta nchi inakosa sifa za kuwa nchi ya amani mbele ya sura ya kitaifa na kimataifa
 
Anyway ccm nani hawajui, wamemapofua hao maakimu ambao wanajali matumbo kiliko kile walicho apa kukitetea, ila kipofu akimuongoza kipofu mwenzake watatumbia tuu shimoni na ndiko ccm na makada wake wanako elekea, mwisho wa yote ni 2015, no reatreat no surrender tutawakoa na kukomesha manyanyaso, Big up Lissu Mungu yu pamoja nawe.:mod:
 
Teh teh the. Ukweli ndo huo mchungaji, wale wameuawa kwa harrasimenti kutoka ccm-regime ambayo kung'oka inatakiwa rebel ikiwa ina sapotiwa na NATO. Lakini CHADEMA nao wamezidi wale jamaa walikuwa wanapigania dhuluma ya haki yao na si chadema movement. Ama nawe siku hizi ni mkereketwa wa

Kama huo ndiyo uelewa wako ngoja nikuweke kwenye ile listi ya kuwaignore! imenibidi samahani lakini ila ndo ukweli huo
 
Inaonekana huyo hakimu alikuwa classmate wa wale mawakili wa TANESCO. Jana Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Misri ametangaza kuwa Hosni Mubarak atahukumiwa kifo iwapo ataonekana aliamuru kuuawa kwa waandamanaji. Kikwete, ni wewe uliyemdhalilisha waziri wako wa Ujenzi kuwa aache ubabe. Lakini ni wewe ndiye unayeendesha huo ubabe, unaisaliti demokrasia ya Tanzania. Kumbuka, hii demokrasia unayoisaliti na wewe itakusaliti pia kwa njia moja au nyingine.
 
Japo sijui sheria na sijui kama Lissu alifanya kosa, lakini nafikiri masharti ya namna hiyo yanawezekana wala msimbeze hakimu. Hakimu yeye ana deal na mashitaki hadili na nini kinachosikika mtaani.

Hata yule jamaa wa IMF kazuiwa kutoka ktk maeneo yale mpaka mkewe amekodi nyumba.

Watetezi wa the gambaz utawajua tu
 
Japo sijui sheria na sijui kama Lissu alifanya kosa, lakini nafikiri masharti ya namna hiyo yanawezekana wala msimbeze hakimu. Hakimu yeye ana deal na mashitaki hadili na nini kinachosikika mtaani.

Hata yule jamaa wa IMF kazuiwa kutoka ktk maeneo yale mpaka mkewe amekodi nyumba.

Ni mimi nina makengeza ama sijakuelewa; ebu jaribu kulinganisha hili uliloandika. Hata mimi sijui kabisa sheria lakini logic hapo sijui kama ipo...Mara nyingi nimesikia masharti ya zamana ni pamoja na mtuhumiwa kutokwenda mbali na point of kushitakiwa hii ya Lisu inaenda opposite kwamba asionekane...Atorokee nje ya nchi kukwepa kesi ni bora zaidi kuliko kuwepo Nyamongo is that what you implied? Maana ya huyo wa IMF America inadai akienda kwao Ufaransa kabla ya kushitakiwa na kuhukumiwa haki haitatendeka maana wana weza wasim access sasa hapo which is wich as far as ur argument is concerned?
 
Wote wanajua wazi kuwa huyu **** ndio amesababisha maiti zisizikwe, hana dini huyo lasivyo angeheshimu maiti na kuweka uroho wa madaraka nyuma. Lakini kwaajili yeye ni CHADEMA basi wote mnaona hajakosea.
Sheikh Yahya na madhambi na majini yake yote alipewa kile unachoita wewe heshima.... Haina maana ya heshima katika nchi ya kikandamizaji kama hii. Mbona 2001 Mkapa alivyowakomesha wapemba hadi wakaenda Mombasa kuna ambao hawakuzikwa kufuata taratibu za dini yao na wewe mnafiki uliuchuna tu??
 
Back
Top Bottom