Jeshi la Polisi: Tunamshikilia Tundu Lissu kwa kufanya mikusanyiko isiyo halali na kuzuia Polisi kufanya kazi yake

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,110
49,823
IMG_8457.jpeg

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, linamshikilia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Mandeleo Mhe. Tundu Lissu pamoja na wenzake watatu wa Chama hicho kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tuhuma za kufanya mikusanyiko isivyohalali a kuwazuia Askari Polisi kutekeleza majukumu yao.

Baada ya mahojiano hayo na ukamilishwaji wa taratibu zingine, hatua nyingine za kisheria zitafuata.

IMETOLEWA NA:
JUSTINE MASEJO - ACP
KAMANDA WA POLISI
MKOA WA ARUSHA

===

My Take
Wale mlikuwa mnauliza sababu za Polisi Kumshikilia Lissu ndio hizo hapo wamezitoa.

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
 
Jeshi la Polisi Limesema Wanamshikilia Tundu Lisu na Wenzake kwa.kufanya mikusanyiko isiyoruhusiwa na kuwazuia.polisi kutekeleza wajibu wake.

View: https://twitter.com/tanpol/status/1700819643206631908?t=3xmbMySGmu0l1Vj184Ppyw&s=19

My Take
Wale mlikuwa mnauliza sababu za Polisi Kumshikilia Lisu ndio hizo hapo wamezitoa.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1700806363926958400?t=fn1SsCVzg2lCwDjeHFt0pg&s=19

Tamko alitoshi aachiwe bila masharti yoyote
 
Afadhal, sasa twende mahakamani 😂😂🎶🎶🎶🤸🤸🤸🤸🤸
Jeshi la Polisi Limesema Wanamshikilia Tundu Lisu na Wenzake kwa.kufanya mikusanyiko isiyoruhusiwa na kuwazuia.polisi kutekeleza wajibu wake.

View: https://twitter.com/tanpol/status/1700819643206631908?t=3xmbMySGmu0l1Vj184Ppyw&s=19

My Take
Wale mlikuwa mnauliza sababu za Polisi Kumshikilia Lisu ndio hizo hapo wamezitoa.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1700806363926958400?t=fn1SsCVzg2lCwDjeHFt0pg&s=19
 
Jeshi la Polisi Limesema Wanamshikilia Tundu Lisu na Wenzake kwa.kufanya mikusanyiko isiyoruhusiwa na kuwazuia.polisi kutekeleza wajibu wake.

View: https://twitter.com/tanpol/status/1700819643206631908?t=3xmbMySGmu0l1Vj184Ppyw&s=19

My Take
Wale mlikuwa mnauliza sababu za Polisi Kumshikilia Lisu ndio hizo hapo wamezitoa.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1700806363926958400?t=fn1SsCVzg2lCwDjeHFt0pg&s=19

Police Tanzania shame on you! Shame on you!
 
Kuanzia ucku wa leo policcm wajifungie ndani kupitia PGO
Bila kufata ushauri wako wajiandae kushindwa asubuhi na mapema, maana askari watajikuta wanahojiwa wao na wakati huo huo kufundishwa Sheria hapo hapo Mahakamani.

Maana Tundu Lissu amefanya mahakamani ni kama nyumbani kwake.

Kuna wengine walikuja na hoja wampime Mkojo aliwafurusha wao na Makopo yao ya Kuwekea mikojo 🤪
 
Back
Top Bottom