Tundu Lissu na Mchungaji Msigwa, acheni chuki za kitoto kwa Zitto

Wangempa mkono wangekuwa wanafiki. Hivyo ndo poa sana.

Acha kuwadanganya wenzio bana, si.wameshamfukuza kwenye chama chuki za nini tena,.kile.kitendo kimeonyesha.bado hawajakua kisiasa na.kidiplomasia. Chama kimejaa chuki na ubabe mwaka huu lazima kura zipungue
 
Stop hypocracy,!!!yaan watu wanapigania ukombozi,huyo Act anapigania Usaliti!!!akafie mbal kwa kwel.
 
Lissu anataka kumfurahisha bwana mkubwa si unajua dadaake aliukwaa ubunge kwa njia za panya (kwa kukatwa majina yaliyopitishwa kihalali) almaarufu "ubunge wa chupi" uliopigiwa kelele sana na Wangwe.

So kujitoa ufahamu wala siyo kitu cha kushangaza,acha awafurahishe mabwana zake.
 
kama wamefanya hivyo kweli.... it is not politics at its democratic maturity
 
Imeripotiwa na vyombo viñgi vya habari juu ya wabunge hawa kukataa kumpa mkono wa kwaheri ndani ya bunge.Hata ingekuwa wewe MTU umpe mkono halafu yeye asikupe utajisikiaje?

Huu si utamaduni wetu hata kama MTU mnatofautiana.Siasa sio chuki tena twajiita wachungaji sijui ni wa kinigeria?
Chanzo: Magazeti Radio Free Africa

Si chuki za kitoto hizo. Watu wanataka ukombozi ye analeta unafiki....mama....make
 


Imeripotiwa na vyombo viñgi vya habari juu ya wabunge hawa kukataa kumpa mkono wa kwaheri ndani ya bunge.Hata ingekuwa wewe MTU umpe mkono halafu yeye asikupe utajisikiaje?

Huu si utamaduni wetu hata kama MTU mnatofautiana.Siasa sio chuki tena twajiita wachungaji sijui ni wa kinigeria?
Chanzo: Magazeti Radio Free Africa

Ulitaka wa shake hands na Mchawi ?
 
Akiwa bungeni sio mchungaji... ni mwansasiasa kama anataka kusamehewa amfuate madhabauni...
 
Kitu kinacho tushangaza wengi wetu ni Busara ya Mhe Tundu Lissu Kukataa kumuaga au kupokea mkono wa kweheri kutoka kwa Mhe Zitto siku alipokuwa analiaga Bunge.

Mimi Binafsi hili jambo limenishtua na kuniudhi sana, kwani maoni yangu juu ya Tundu Lissu yalikuwa mazuri sana, na nilitegemea amekuwa mwanasiasa aliyepevuka lakini bado mbichi sana, na hana dalili ya kupevuka.

Bw. Lissu mara ngapi amemtukana Raisi wa Nchi Bungeni na baadaye akakutana na Raisi , iwe Nje au Ikulu. Raisi humpokea na kuzungumza nae, na hatujaona mkono wake wa salaamu ukakataliwa.

  1. Katika siasa watu hugongana kisiasa lakini hayo hayaendi mbali. Akina Raila Odinga Na Kibaki na genge lake walisabisha watu kuuana na damu ikamwagika na baadaye wakaungana kwenye serekali ya mseto.
  2. Ukrain na Russia wanapigana na kuuana, lakini majuzi walipokutana, walipeana mikono na kuweza kuzungumza.
  3. Raisi Kikwete na Raisi wa Malawi maelewano yao kuhusu Ziwa Nyasa wote tunayajua yalivyokuwa, lakini walipokuwa wakikutana wanasalimiana na kuzungumza.

Sasa iweje mtu msomi kama Bw Lissu, unakata kumuaga ndugu yako, kijana mwenzako eti kwa sababu yeye sio mnafiki, Hivyo sasa hiyo tabia yake ndio iitweje ?

Tundu Lissu today he has show Political immaturity, Arrogance and disrespectfulness to humanity.


http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/36983-lissu-akataa-kumuaga-zitto
 
Anachofanya Lissu ni kutaka kujipendekeza kwa Mbowe na Mtei, anasahau kuwa jamii inamtazama yeye kama yeye!

Cha ajabu Zitto kaonyesha ukomavu na hama kwa hakika wamemkuza, nakumsogeza level ya juu mno...hongera zitto!

Lissu ni kumwangalia na kumwonea huruma! atabaki hivyo alivyo...sidhani kama Lissu huawa hawapi mikono CCM, katika hili kwa akili zake; adui mkubwa wa Lissu ni zitto na sio CCM!

Nashangaa hivi, hii minyukano inayoendelea ndani ya CCM ingekuwa ni chadema ingekuwaje? matured political party is equivalent to matured members
 
Back
Top Bottom