unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Waagane kwani anaenda kufa, sidhani kama ni lazima kushikana mikono.
Chuki chuki chuki toka moyoni hahahha mwaka huu ACT ITAWAPELEKA PUTA, tegemeeni kura zenu.kugawana na ACT
Waagane kwani anaenda kufa, sidhani kama ni lazima kushikana mikono.
Mkono utasaidia nn mwache ahende msaliti
Wangempa mkono wangekuwa wanafiki. Hivyo ndo poa sana.
km Tanzania daima
Hakuna kuchekacheka na msaliti.
Watu wamekufa kwa ajili ya chama halafu unataka msaliti apongezwe?
Imeripotiwa na vyombo viñgi vya habari juu ya wabunge hawa kukataa kumpa mkono wa kwaheri ndani ya bunge.Hata ingekuwa wewe MTU umpe mkono halafu yeye asikupe utajisikiaje?
Huu si utamaduni wetu hata kama MTU mnatofautiana.Siasa sio chuki tena twajiita wachungaji sijui ni wa kinigeria?
Chanzo: Magazeti Radio Free Africa