Anachofanya Lissu ni kutaka kujipendekeza kwa Mbowe na Mtei, anasahau kuwa jamii inamtazama yeye kama yeye!
Cha ajabu Zitto kaonyesha ukomavu na hama kwa hakika wamemkuza, nakumsogeza level ya juu mno...hongera zitto!
Lissu ni kumwangalia na kumwonea huruma! atabaki hivyo alivyo...sidhani kama Lissu huawa hawapi mikono CCM, katika hili kwa akili zake; adui mkubwa wa Lissu ni zitto na sio CCM!
Nashangaa hivi, hii minyukano inayoendelea ndani ya CCM ingekuwa ni chadema ingekuwaje? matured political party is equivalent to matured members
Mimi sio mshabiki wa Ziito ila nimemwona Zitto akiwa Muungwana sana..kwa niaba ya Lisu ninampa zitto Mkono wa kwaheri Mungu amwongoze Huko aendako na Pia aibariki CDM isonge mbele..Yaliyopita si ndwele tugange yajayo...I will miss you ZZK in Great CDMNdo siasa uchwara hizo mkuu Mkirindi. Yani ukisikia mtu anakwambia siasa uchwara basi ujue ni siasa za namna hii.
Ndo maana Rostam aliamua kuachana nazo. Ninahisi watu wenye ngozi nyeusi tulilaaniwa.
Kitu kinacho tushangaza wengi wetu ni Busara ya Mhe Tundu Lissu Kukataa kumuaga au kupokea mkono wa kweheri kutoka kwa Mhe Zitto siku alipokuwa analiaga Bunge.
Mimi Binafsi hili jambo limenishtua na kuniudhi sana, kwani maoni yangu juu ya Tundu Lissu yalikuwa mazuri sana, na nilitegemea amekuwa mwanasiasa aliyepevuka lakini bado mbichi sana, na hana dalili ya kupevuka.
Bw. Lissu mara ngapi amemtukana Raisi wa Nchi Bungeni na baadaye akakutana na Raisi , iwe Nje au Ikulu. Raisi humpokea na kuzungumza nae, na hatujaona mkono wake wa salaamu ukakataliwa.
- Katika siasa watu hugongana kisiasa lakini hayo hayaendi mbali. Akina Raila Odinga Na Kibaki na genge lake walisabisha watu kuuana na damu ikamwagika na baadaye wakaungana kwenye serekali ya mseto.
- Ukrain na Russia wanapigana na kuuana, lakini majuzi walipokutana, walipeana mikono na kuweza kuzungumza.
- Raisi Kikwete na Raisi wa Malawi maelewano yao kuhusu Ziwa Nyasa wote tunayajua yalivyokuwa, lakini walipokuwa wakikutana wanasalimiana na kuzungumza.
Sasa iweje mtu msomi kama Bw Lissu, unakata kumuaga ndugu yako, kijana mwenzako eti kwa sababu yeye sio mnafiki, Hivyo sasa hiyo tabia yake ndio iitweje ?
Tundu Lissu today he has show Political immaturity, Arrogance and disrespectfulness to humanity.
http://habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/36983-lissu-akataa-kumuaga-zitto
Mkono wa nini kwa msaliti? Aende akafie huko!
Shame shame shame! Msaliti na vibaraka wa wasaliti hamna nafasi CHADEMA.
acha ujinga, hakuna adui wa kudumu ktk siasa!
wabongo ni wanafki na wajinga...unampa mkoni mtu uliyekosana nae ya nini