Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

Mara nyingine nawaza iz realy jf 4 great thinkers or wanachama na mashabik wa vyama fulan? Nasema hv sbb nimejarib kufanya utafit khs wanasiasa na kugundua kuwa wote lengo lao moja. Mwaka 1991 nilibahatika kushuhudia uchaguz wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia uliomweka Chiluba madarakan kwa ushind wa kishindo lkn nilikuja kushangazwa na jinc alivyokuja kumaliza muda wake akiwa na 2huma za kifisad. Mfano wa pili ni kebaki njinsi alivoingia madarakan kwa sapot kubwa ya wananchi na vyama vya upinzani lkn angalia ye alivoshindwa kuvumilia kuachia ngazi mpaka yakatokea yaliyotokea kenya wa tatu ni seif na cuf zanzibar ilipoundwa serikal ya mseto nilijua sasa zanzibar shida zitakwisha lkn wapi maisha ndo yanazid kuwa magumu kisiwan aliahid kupeleka speed boti Pemba matokeo yake chini ya wizara inayoendeshwa na waziri wa cuf ndugu ze2 kibao wamepoteza maisha kwenye jeneza la baharin.Ninachojaribu kusema ni kwamba let us try to think na co 2 kwamba 2hadaike na ahad hewa za wanasiasa sbb 4 them we are just madaraja ya kuwavusha waendako iliwakishapata wafaid maisha halafu ce 2endelee kuteseka na kulalamika. Mfano mwingine ni jinc jk alivyoingia madarakan akiitwa chaguo la mungu leo hii anasomeka kama bonge la fisad.
 
mfano mwingine wa kuigwa ni dr slaa alivyotuaminisha kua kaibiwa kura na atakuja na ushahidi wa kufa mtu ( wa nguvu) kutudhihirishia anachosema, sijaona ushahidi wowote wa maana wala hatua ya maana aliyoichukua, zaidi tunashuhudia anavyoendelea kutesa na mchumba wake.
 
CCM wanachofanya ni power abuse. Kwa kutemdo chao cha kuwapeleka watuhumiwa Tabora mjini ni BOOST kubwa sana kwa CDM mkoani Tabora kwani kama watawapeleka mahakamani hii itakuwa ni Publicity tosha kwa CDM Mkoani Tabora. Watakuwa wanafanya kazi ya ukada wa CDM Tabora bila kujijua.

[video]http://www.youtube.com/user/chadematv#p/u/0/MzKQxULo6L8[/video]

[video]http://www.youtube.com/user/chadematv#p/u/1/JhGpaQrhzu4[/video]
 
Wazo

Chadema Viongozi na wanachama mnatakiwa mmuwe makini inavyoonyesha CCM imeshapoteza muelekeo uko Igunga so, wanatafuta kila njia kuvuruga huu uchaguzi. Mfano (Green Guard, Tindikali, Ajali, Ufuska, UWT kutumiwa na chama, Police kuwa walinzi wa mabwana zao CCM, Rushwa wazi wazi na Takukuru kutofanya kitu and Final plan ya kuchakachua kura). Chadema team na wanachama mnatakiwa kufanya campaign ya kweli na kuweka strategies ya ushindi uko Igunga.
Kumbuka CCM haina hoja yoyote ya kuwapa wananchi wa Igunga na ndio maana wanatafuta vioja kila kukicha ilimradi na nyie msiwe na muda wa kuelimisha wananchi haki zao na maitaji muhimu serikali inapaswa kuwafanyia na imeshindwa kuwafanyie na hatma yake ifike siku ya kupiga kura wachukue chao.

Katika soma soma yangu thread nyingi hapa JF GT nimeona sasa hizi campaign za Igunga watu hawajadili wagombea kiti wamejadili nini na wana sera gani na watawaletea maendeleo gani katika jimbo la Igunga bali ni CDM imefanya ivi na CCM imefanya ivi je ndio tunapotaka kuelekea?

Ombi CDM jaribu kukwepa hii mitego mnayotegwa na UWT ili kukinusuru CCM inaonyesha UWT ikishindwa basi kunaweza kutokea kuvurugika kwa uchaguzi na ndivyo dalili zinaonekana sasa

Note: Maneno ya Nape kuwa watepeleka vijana wao kwa ajili ya Usalama, Maneno ya DC Mliyempiga ameota kuwa CCM itashinda na Mkapa siku ya campaign kuwa CCM itashinda kwa kishindo hii tosha kujua CCM ushindi tiari wanao na je mtalinda kote NEC je? kumbuka sheria ya uchaguzi akishatajwa mshindi awe halali au si halali ndio tiari mshindi mfano nchi yetu jirani kenya na tume yao ya uchaguzi ulivyomtaja kibaki na machafuko yalivyotokea still amekua Rais. Mmewaelimisha vipi wananchi wak Igunga kuhusu katiba nchi tunayoitaka?

Kumbuka hizi slogans zao za kukichafua chama: UWT wao kazi yao kueneza sumu ya uongo mfano chadema ni chama cha wachaga, CDM ni chama cha wahuni, wavuta bangi, wabakaji, wezi wa magari, wake za watu, tindikali, kuvura nchi, kumtoa madakani rais ingali uchaguzi umekwisha, maandamano and soooo on, ukizingatia mambo yote ndio wao wameyafanya ila wanatafuta pakutokea mfano mzuri ni kama hili la DC wanasema CDM walitaka kumbaka DC angalia walichofanya ni kuunganisha ubakaji ili watu wasikumbuke yule aliyefumaniwa na mke wa watu akila uroda so now ni DC ndio inayochuka chati je alibakwa au aliwekwa chini ya ulinzi? na ya tindikali walivyoona inakula kwao ndio DC akatumwa acheze hiyo movie ili ya tindikali isahaulike na kumbuka tiari sumu ilishaenezwa na UWT ni CDM wanahusika.

Sasa hayo yote nimejaribu kuweka hapo nyie makamanda mliopo uko mjue ni jinsi gani ya kupambana na hizo propaganda za UWT kwa aidha kuzipuuza na kuchapaka kazi bila kujibu or mkizijibu basi iwe kwa matendo na campaign zenu ziwe ni za kuelimisha uma sio za majibishano na vyama vingine na lengo kuu ni ushindi.

Tunawatakia Campaign zilizo na Amani.
 
Tumemzoea huyu mTUNDU lisu. Kasuku mzuri sana wa CDM. Pamoja na kubwabwaja upuuzi wake, sheria ichukue mkondo wake. Kwa maoni yangu, watuhumiwa hawa waliojaribu kumbaka DC, WANASTAHILI KUHUKUMIWA KIFO.
 
Matamko ya tundu lissu kamwulizeni mbowe kama ni kweli
alisema mbowe hawezi kamatwa sehemu yoyote. Jamaa alikamatwa na kulala ndani weekend nzima.
Hii anatishia nyau tu na kuwatia moyo washabiki ila ukweli anaujua sana.
Usilete siasa kwenye sheria
 
Tumemzoea huyu mTUNDU lisu. Kasuku mzuri sana wa CDM. Pamoja na kubwabwaja upuuzi wake, sheria ichukue mkondo wake. Kwa maoni yangu, watuhumiwa hawa waliojaribu kumbaka DC, WANASTAHILI KUHUKUMIWA KIFO.

Heri kijana maskini mwenye akili kuliko mzee mfalme mpumbavu!
 
Lissu ni maneno mengi tu, hana jipya. Hao waliotaka kubaka watashitakiwa na kuhukumiwa na nyie CDM hamta fanya lolote. Kwani si tumesha wazoea na mkwara wenu wa nchi kuchafuka. Labda itachafukua humu JF lakini huko mitaani kuna risasi za moto na vijana wa CCM walio tayari kukamua mavi.
 
Kufuatia kufanyiwa fujo na wale wanaosadikiwa kuwa wanachama wa CDM na kupelekea kukamatwa kwa wabunge wawili wa CDM..hatimaye leo asubuhi hapa Igunga CDM wametoa tamko kupita kwa mkurugenzi wa haki na sheria Mh.Tundu Lissu..Akizungumza kwa hisia na kwa uchungu,Tundu amedai amesikitishwa na kitendo cha polisi kuwakamata wanachama na wabunge wawili wa CDM na kuwapeleka kituo cha polisi cha Tabora mjini badala ya kile cha Igunga ambacho ndipo walipokamatwa....Aliendelea kusema kwa siasa hizi za unyanyasaji na kamatakamata ya polisi Igunga italeteleza maafa makubwa pale wananchi wanaposhoshwa na unyanyasaji huu wa wazi....Tindu Lissu ameomba serikali kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi hili kuepusha maafa yanayoweza kutokea sio Igunga tu bali hata kwa chaguzi zijazo....Tundu alimalizia kwa kusema kwa kawaida mabadiliko yanaambatana na changamoto nyingi ambazo kama serikali ya CCM itashindwa kuhimili taifa lataelekea katika maafa makubwa kuliko kawaida....na amewashukuru wana Igunga kwa support yao kubwa wanayotoa kuleta mageuzi Tanzania...

Hivi vitisho vya nini? CHADEMA wamepotoka kwa kumshambulia mkuu wa wilaya badala ya kuomba msamaha wanawatishia watanzania eti CCM ikishindwa kuhimili changamoto italetelezea maafa makubwa. Mnataka muue watanzania kisha mtawale miti? Hizo vurugu hazina tija hata kidogo na punde watu watawachoka.
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.<br />
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
<br />
<br />

Acha ujinga wewe! Huyo DC alienda kufanya nini sehemu anayofahamu kuna mkutano wa chama pinzani? Alienda makusudi ili kutafuta sbb ya kuichafua CDM! Hana lolote! Alitumwa tu huyo!
 
Tumemzoea huyu TUNDU Lisu. Kasuku mzuri sana wa CDM. Pamoja na kubwabwaja upuuzi wake, sheria ichukue mkondo wake. Kwa maoni yangu, watuhumiwa hawa waliojaribu kumbaka DC, WANASTAHILI KUHUKUMIWA KIFO.

Kwa kutumia sheria za nchi gani?
 
Wewe unadhani wakina Mandela wangekuwa kama hawa wa cdm ubaguzi ungeisha na kaburu angeiachia SA. Viongozi wanatoa matamko hakuna vitendo unategemea ni sasa. Wanawatumia walalahoi kama mitaji yao ya kisiasa tu.

Kumbuka haikuanza miaka ya mandela, na mandela hakuwa wa kwanza kuai uhuru, hiyo ni process. Na siku moto ukiwaka Tanzania haitalalika hii. Watu wanavisasi sana mioyoni mwao wanasubiri waanzashiwe.
 
Acha ujinga wewe! Huyo DC alienda kufanya nini sehemu anayofahamu kuna mkutano wa chama pinzani? Alienda makusudi ili kutafuta sbb ya kuichafua CDM! Hana lolote! Alitumwa tu huyo!
Hivi wewe unajua majukumu ya DC? au unaongea tu hata sheria za nchi hamzifahamu nyie mnajua Fujo tu
 
Back
Top Bottom