Tundu Lissu atimba Kituo cha Polisi Mwandoya, awashukuru Polisi kwa kuwalinda kipindi chote walipokuwa Jimbo la Kisesa, Polisi Wamfurahia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,039
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amekwenda Kituo cha Polisi cha Mwandoya Jimboni Kisesa na kuwashukuru kwa namna walivyomlinda yeye, Ujumbe wake na Mikutano yao muda wote walipokuwepo Kisesa

Polisi walionekana kufurahishwa sana na uungwana wa Tundu Lisu

Mungu wa mbinguni awabariki Polisi wetu!
 
CHADEMA wafika Kituo cha Polisi cha Mwandoya Jimboni Kisesa

1693488178698.png
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amekwenda Kituo cha Polisi cha Mwandoya Jimboni Kisesa na kuwashukuru kwa namna walivyomlinda yeye, Ujumbe wake na Mikutano yao muda wote walipokuwepo Kisesa

Polisi walionekana kufurahishwa sana na uungwana wa Tundu Lisu

Mungu wa mbinguni awabariki Polisi wetu!
Hizo ni alama za nyakati.

Hata kwenye vituo vya kupigia kura 2024/2025 utawaona hao hao polisi wakifurahia uungwana!

Au bado hujaelewa?

Hatuhitaji mambo kama yale ya Niger, Gabon hapa, sisi tunazo taratibu zetu maalum.
 
😂😂😂
 
Mkuu wa kituo akiangalie maana kuna yule alienda bomoa jiee la msingi usiku wa manane sijui na maji aliyakataza yasiendelee kutoka!!
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amekwenda Kituo cha Polisi cha Mwandoya Jimboni Kisesa na kuwashukuru kwa namna walivyomlinda yeye, Ujumbe wake na Mikutano yao muda wote walipokuwepo Kisesa

Polisi walionekana kufurahishwa sana na uungwana wa Tundu Lisu

Mungu wa mbinguni awabariki Polisi wetu!
Tuliza tako we tushakuzoea kwa uzushi
 
Polisi wanamkubali sana Lissu ila ndio vile tena
 
Back
Top Bottom