Jibu la Paul Makonda kwa mwandishi dhidi ya shambulio la Tundu Lissu lina maana gani?

bitare

Senior Member
Jul 13, 2023
192
563
Poul Makonda ametuhumiwa na Tundu Antipasi Lissu kwa mara ya pili ya kwanza ikiwa ni katika moja ya mikutano yake huko Marekani alipokua akizungumza na watanzania waishio huko (Diaspora).

Na kwa mara nyingine akiwa katika kituo kimoja cha television huko Kenya kua yeye ndio alikua kiongozi wa waliomvamia nakumshambulia kwa risasi zilizotaka kumsababishia kifo, na zimemacha akiwa mlemavu.

Baada yatuhuma hizo mwandishi wa habari wa gazeti moja akampigia simu Poul Makonda kutaka kujua ukweli dhidi ya tuhuma zile Makonda akamjibu mwandishi kua swali lile akamuulize Mama yake.

Mwandishi hakuishia pale aliwapigia Polisi pia ambao sikuzote walimsubiri Tundu Lissu arudi ili wamuhoji nao wakawa bize simu zao ni zaidi ya wiki sasa tokea Lissu atoe tuhuma hizo na mtuhumiwa bado anadunda mitaani,

Je, majibu haya ya Polisi na Poul Makonda yanamaana gani? Dhidi ya Tuhuma za Lissu.

Pia soma >Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu
 
Poul Makonda ametuhumiwa na Tundu Antipasi Lissu kwa mara ya pili ya kwanza ikiwa ni katika moja ya mikutano yake huko Marekani alipokua akizungumza na watanzania waishio huko (Diaspora).

Na kwa mara nyingine akiwa katika kituo kimoja cha television huko Kenya kua yeye ndio alikua kiongozi wa waliomvamia nakumshambulia kwa risasi zilizotaka kumsababishia kifo, na zimemacha akiwa mlemavu.
Je, majibu haya ya Polisi na Poul Makonda yanamaana gani? Dhidi ya Tuhuma za Lissu.
Siungi mkono majibu ya makavu live ya Mwenezi kwa mwandishi, ila kiukweli baadhi ya waandishi wengine ni kama ma kanjanja, kiukweli sometimes wanaudhi!, acha tuu wajibiwe utumbo@.

Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must prove!, anayetuhumu ndie mwenye wajibu wa kuthibitisha!. Mwandishi husika ni mwandishi kanjanja, angekuwa mwandishi makini angemtafuta kwanza TL amuuulize ndipo aje kwa Makonda!.

Tuhuma zile za TL ni tuhuma za jinai, TL ni mwanasheria anajua kabisa anapokuwa na tuhuma za jinai, anapaswa kufanya nini!, ndio maana niliwahi kuuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

TL alipaswa aulizwe baada ya kupokea taarifa hizo ameripoti wapi?.

P
 
Pascal Mayalla pamoja na yote unamchukia sana Tundu Lissu na hujawahi kuficha hisia za chuki hiyo kwa former school mate wako. Japokuwa umeshawahi kupandisha nyuzi za kinafiki kumsifia lakini katikati ya mistari unamchukia sana huyu mtu pamoja na chama chake. Na tangu ulipojilipua kabisa kuwa wewe ni mwanaccm ndiyo chuki hizo zimekuwa za wazi kabisa kwa Tundu Lissu na Chadema. Ni haki yako kuchagua upande.
 
Ukaripoti kwa police ambao waliondoa walinzi getini siku ya shambulio?!
 
Pascal Mayalla pamoja na yote unamchukia sana Tundu Lissu na hujawahi kuficha hisia za chuki hiyo kwa former school mate wako. Japokuwa umeshawahi kupandisha nyuzi za kinafiki kumsifia lakini katikati ya mistari unamchukia sana huyu mtu pamoja na chama chake. Na tangu ulipojilipua kabisa kuwa wewe ni mwanaccm ndiyo chuki hizo zimekuwa za wazi kabisa kwa Tundu Lissu na Chadema. Ni haki yako kuchagua upande.
Labda kuna kitu kati yao
 
Siungi mkono majibu ya makavu live ya Mwenezi kwa mwandishi, ila kiukweli baadhi ya waandishi wengine ni kama ma kanjanja, kiukweli sometimes wanaudhi!, acha tuu wajibiwe utumbo@.

Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must prove!, anayetuhumu ndie mwenye wajibu wa kuthibitisha!. Mwandishi husika ni mwandishi kanjanja, angekuwa mwandishi makini angemtafuta kwanza TL amuuulize ndipo aje kwa Makonda!.

Tuhuma zile za TL ni tuhuma za jinai, TL ni mwanasheria anajua kabisa anapokuwa na tuhuma za jinai, anapaswa kufanya nini!, ndio maana niliwahi kuuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

TL alipaswa aulizwe baada ya kupokea taarifa hizo ameripoti wapi?.

P
Kumbe hata wewe ni kanjanja! Tundu Lissu amejibu swali aliloulizwa full stop.
Utamuulizaje ameripoti wapi wakati wafanya uchunguzi hawataki kumhoji? Hilo ni jaribio la mauaji ambalo hata Polisi walisema wanamsubiri muathirika apone wamhoji, sasa kapona na hawataki kumhoji lawama zitaendaje kwa Lissu kuwa hajaripoti?
Nimegundua kuwa UKANJANJA sio kutokusoma bali ni zaidi ya hapo
 
Pascal Mayalla pamoja na yote unamchukia sana Tundu Lissu na hujawahi kuficha hisia za chuki hiyo kwa former school mate wako. Japokuwa umeshawahi kupandisha nyuzi za kinafiki kumsifia lakini katikati ya mistari unamchukia sana huyu mtu pamoja na chama chake. Na tangu ulipojilipua kabisa kuwa wewe ni mwanaccm ndiyo chuki hizo zimekuwa za wazi kabisa kwa Tundu Lissu na Chadema. Ni haki yako kuchagua upande.
Umezungumza katikati ya ukweli. Wana CCM wengi hasa wanaojiita wasomi wana katabia kakumchukia Lissu nadhani ni sababu ya uwezo wake ambao hawaufikii
 
Siungi mkono majibu ya makavu live ya Mwenezi kwa mwandishi, ila kiukweli baadhi ya waandishi wengine ni kama ma kanjanja, kiukweli sometimes wanaudhi!, acha tuu wajibiwe utumbo@.

Kanuni ya tuhuma ni he who alleges, must prove!, anayetuhumu ndie mwenye wajibu wa kuthibitisha!. Mwandishi husika ni mwandishi kanjanja, angekuwa mwandishi makini angemtafuta kwanza TL amuuulize ndipo aje kwa Makonda!.

Tuhuma zile za TL ni tuhuma za jinai, TL ni mwanasheria anajua kabisa anapokuwa na tuhuma za jinai, anapaswa kufanya nini!, ndio maana niliwahi kuuliza humu Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?

TL alipaswa aulizwe baada ya kupokea taarifa hizo ameripoti wapi?.

P
Ulitaka akamuulize ni Tundu Lissu wakati amesha sema Makonda amehusika. Alichofanya Mwandishi ni sahihi kabisa kwenye Tasnia ya habari,Alitaka ku balance habari kabla ya kuitoa hazarani.
 
Pascal Mayalla pamoja na yote unamchukia sana Tundu Lissu na hujawahi kuficha hisia za chuki hiyo kwa former school mate wako. Japokuwa umeshawahi kupandisha nyuzi za kinafiki kumsifia lakini katikati ya mistari unamchukia sana huyu mtu pamoja na chama chake. Na tangu ulipojilipua kabisa kuwa wewe ni mwanaccm ndiyo chuki hizo zimekuwa za wazi kabisa kwa Tundu Lissu na Chadema. Ni haki yako kuchagua upande.
Wafrica ukishawazidi kitu tu basi tegemea kitu.

Kumbe Lissu ni schoolmate wake?
 
Back
Top Bottom