Tundu Lissu atoa tamko la CHADEMA huko Igunga leo...

KWA TAARIFA YAKO YULE SIO DC ni CD...NENDA KAULIZE WENYEJI UPEWE VIDONGE N\VYA YULE MAMA


Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
 
nimependa hapo "yule mbunge anayelala bungeni" Stephen Wasira

Hapo DC anakesi ila jamaa wa magamba kwa sabau walimtuhumu hawasaidii sasa kwa kutumia vibaraka wao (Polisi) wameingilia kati ili kumnusuru
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
Dc yeye ndiye alikuwa anabaka kampeni ya chadema.hakuna ubakaji ulishawahi kufanywa mchana kweupe.Na hao watendaji wa serikali wanaojifanya vihelehele vya kutimiza matakwa ya wakubwa wao dawa yao ni hiyo tu sababu ukiita polisi kuja kuwakamata hawaji .
 
Mnanifanya niimbe wimbo wa Komba "CCM CCM aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah chama cha Mapinduzi CCM namba wani"
Unajua CCM wanajiona wao kama Alfa na Omega ipo siku yatawakuta ya Misri ndipo itakawa na kilio na kusaga meno!
 
Nashangaa sana!dc ndo muhimu zaidi kuliko wabunge?alienda fanya nini sehemu ambayo cdm inafanya mikutano yake?any way katika ukombozi wa dhati lazima damu zimwagike ili ziwe sawa na mbegu zinazomea upya kwa ukombozi(grain of wheat by NGUGI WA THIONG'O)

Nashangaa tamko hili halijazingatia ukweli kwamba vurugu hizo zimegharimu pakubwa heshima na staha ya DC na ni nani aliwaambia CDM kwamba mtu akiingilia mkutano adhabu yake ni kudhalilishwa kama walivyofanya kwa DC? Yaani wao wanaona fahari kutetea wabunge wao huku wakisahahu kwamba walichofanya ni uhalifu na mtu mhalifu cannot be treated differently. Tabora na Igunga kote ni polisi, kwani kuna nafuu gani kukamatwa Igunga na kuwekwa rumande Igunga badala ya Tabora? In any case huko Tabora haki itatendeka maana polisi wa Igunga wako chini ya DC na watu wangelalamika kwamba wanampendelea.
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.<br />
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC
<br />
<br />
Kamama kenyewe kamekomaa kama jiwe nani atakabaka sasa?kakivua tu lazima utoke nduki kanakuwa kama gamba la mamba.
 
Hili linaweza kuwa Tamko la 2000 kutolewa na CDM, tumechoka na hayo matamko yenu yasiokuwa na tija kwa taifa.
Tundu Lissu, unalalamika nini wakati CDM walitaka kumbaka Mama wa watu DC

Teh teh teh!! Mkuu hapo kwenye red colour umenikumbusha mbali sana....nadhani hii njia ya kufundisha adabu ni nzuri,yule kanyooka na atakuja kurudia upuuzi huu...
 
Wewe acha fikra mgando, tena huna akili! unajua kubakwa au unaleta unafiki kwenye jukwaa lenye watu wenye fikra za kutosha. Elewa hakuna anayedanganyika kwa kauli zako. Nani kakwambia kwamba DC kabakwa, unajua kubakwa? Kubakwa mpaka mtu aziniwe " Sexual intercourse". Acha ujinga wewe.

Nyie wa MAGAMBA eleweni hii nchi siyo mali yenu ten!!!!!!!!
 
Wana JF,

All in All,
Nilipenda tu kujua DC siku alipo kula kiapo viwanja vya IKULU aliapa vipi? Na kama kuna mtu ana ile paper ya kiapo atumwagie hapa ndipo tujua Mamlaka yake yako wapi?

DC anadai kuwa alidharirishwa sana kwa kuvuliwa kitambaa kichani kuwa yeye ni muislamu safi je anajua maneno ya mungu yanasemaje ?? Yakaisali mpe kaisali na ya Mungu mpe Mungu which means alikwenya kwenye ulingo wa siasa na twajua siasa zetu zilivyo kwa hiyo DC alitakiwa kulitambua hili na ukizingatia yeye kwa taratibu za kiserikali DC ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya wilaya sasa huko alikwenda na taarifa aliwapa wenzake katika kamati ya ulinzi kuwa atakuwa eneo hilo?? kama yeye hakuona hilo na anadai kuwa kujistili kwake kule ni istaarabu sasa hakuona alama za nyakati katika hilo kuwa muda huu ni vuguvugu kubwa la kampani za kisiasa na hatakiwi kujionyesha kuwa yuko side ipi?

My Take;

na katika kiapo chaeke nadhani kuna kipengele cha kusema ata hudumia wananchi wa wilaya yake bila kuwa na itikadi ya ubaguzi kidini,kikabila,kichama na kadharika.

Kwenye mkasa ulio mkuta DC ninge penda kuwaambia Police nao waangalie source ya tatizo kwanza kabla ya kukimbilia kuwaweka watu ndani kwanza walipaswa walokamatwa na CD mmoja wapo walitakiwa wafuike Police kujieleza na interllogation ilipaswa fanyika kwa wote kwanini Police wampe kinga DC na yeye ndie alikuwa chanzo cha kutokuwepo na amani katika eneo lile?

DC's tulio nao wengi wao ni makada wa CCM katka katiba hata bila katiba haiingi akilini kukubaliana na hili swala kwanini DC wewe ni mtendaji serikalini na then hapo hapo uwe kada wa chama tawala(CCM) sio democrasia au bado tuna mfumo wa chama kimoja?? na kama kipengele hicho kipo kiondolewe mara moja au DC hicho cheo chao kifutwe, dhahili utakuwa unatete wana CCM tuu na sio wasio na chama na wenye vyama tofauti

Katika hayo yote siwaelewi January Makamba na Nape ati kulaani kitendo kilicho tokea Igunga kwa DC kuaibishwa hivi hawa vijana wamesoma kweli alama za nyakati pamoja na kuwa na elimu zao au ni kutaka kutanguliza siasa za kinafiki??

DC alikiuka miiko ya kazi zake makusudi alikuwa anajua anacho kifanya na alijua hayo yange tokea endapo ange gundurika sasa serikali na police hawajaliona hilo hata NEC halijaona hili
 
Pole sana Mh kwa kazi kubwa na nzito unayoifanya!!! Wasijaribu kuturudisha nyuma....!! Jimbo hilo ni letu na ushenzi wowote utakaoendelea kufanyika itakuwa kama DC, haitajilisha nani kahusika...
 
Pole sana Mh kwa kazi kubwa na nzito unayoifanya!!! Wasijaribu kuturudisha nyuma....!! Jimbo hilo ni letu na ushenzi wowote utakaoendelea kufanyika itakuwa kama DC, haitajilisha nani kahusika...
kazi gani hiyo ngumu anayo fanya, zaidi ya kupiga domo. kelele nyingi bila mafanikio yeyote. Nyie mnajulikana, mambo yakiwa magumu basi mnatishia fujo. tumewazoea. Igunga hampati na mkileta za kuleta tunatembeza kipigo cha uhakika.
 
Nyoka akijivua gamba anaongezeka kimo na kuwa mkali zaidi. Isitoshe, hata kiwango cha sumu anayotema inaongezeka. Ndiyo CCM hiyo! Tunapata faraja moja kwani akiongezeka kimo mwili huwa mkubwa na uwezo wa kuuficha mwili usionekane hupungua. Hupati shida kumuwinda!
 
Tumechoshwa na matamko ya hawa cdm tunataka vitendo, huko arusha mmetoa matamko wee hakuna tija yeyote ni business as usual. Nasema tumemechoka aah!
Hebu hesabu matamko ya CCM halafu ulinganishe na ya CHADEMA yapi yamezidia na yapi yamefanyiwa kazi....
 
nashangaa sana!dc ndo muhimu zaidi kuliko wabunge?alienda fanya nini sehemu ambayo cdm inafanya mikutano yake?any way katika ukombozi wa dhati lazima damu zimwagike ili ziwe sawa na mbegu zinazomea upya kwa ukombozi(grain of wheat by ngugi wa thiong'o)

umenena bro. Ingawa kwa wenzetu wa burundi, pamoja na kumwaga damu bado hawajabadilika. Cjui nini tatizo. Tz yetu siku tukipigana lazima maisha yatabadilika
 
Mara nyingine nawaza iz realy jf 4 great thinkers or wanachama na mashabik wa vyama fulan? Nasema hv sbb nimejarib kufanya utafit khs wanasiasa na kugundua kuwa wote lengo lao moja. Mwaka 1991 nilibahatika kushuhudia uchaguz wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia uliomweka Chiluba madarakan kwa ushind wa kishindo lkn nilikuja kushangazwa na jinc alivyokuja kumaliza muda wake akiwa na 2huma za kifisad. Mfano wa pili ni kebaki njinsi alivoingia madarakan kwa sapot kubwa ya wananchi na vyama vya upinzani lkn angalia ye alivoshindwa kuvumilia kuachia ngazi mpaka yakatokea yaliyotokea kenya wa tatu ni seif na cuf zanzibar ilipoundwa serikal ya mseto nilijua sasa zanzibar shida zitakwisha lkn wapi maisha ndo yanazid kuwa magumu kisiwan aliahid kupeleka speed boti Pemba matokeo yake chini ya wizara inayoendeshwa na waziri wa cuf ndugu ze2 kibao wamepoteza maisha kwenye jeneza la baharin.Ninachojaribu kusema ni kwamba let us try to think na co 2 kwamba 2hadaike na ahad hewa za wanasiasa sbb 4 them we are just madaraja ya kuwavusha waendako iliwakishapata wafaid maisha halafu ce 2endelee kuteseka na kulalamika. Mfano mwingine ni jinc jk alivyoingia madarakan akiitwa chaguo la mungu leo hii anasomeka kama bonge la fisad.
sijui ni uvivu wa kuandika, sijui ni tabia za kwenye facebook...halafu sijakuelewa unataka tuelewe nini kutoka kwako...unaimanisha tuache kuwa unga mkono kwasababu watakuja kutugeuka...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom