NIWAAMBIE WANABODI!
ni kuwa ccm imetegwa na Lisu, nayo itaingia kichwa kichwa! Kutajwa majina ya wabunge wala rushwa na kukutikana ni ya wabunge wa ccm kunaifanya ccm ianze kujitetea kama chama kwa kuwatetea wabunge wake na hivyo kitajikuta kinajipaka matope zaidi. Subirini muone mziki.
Mwana jf kwa kashaf hizi za rushwa bungen bado una imani nalo????? Likuteteee
Hafla ya kupongezana juu ya kilichotokea jana huko Dodoma imekwisha na sasa kinachoendelea ni kikao cha hatua ya pili ya kukabiliana na mvutano uliopo bungeni miongoni mwa wabunge wenyewe na kuhakikisha baadhi ya wabunge wanadhibitiwa na hawapewi nafasi kusema kile kitakachoonekana kutibua na kuharibu hatua iliyofikiwa(ushindi wa jana) . Maagizo maalumu yametumwa Dodoma kwa spika wa bunge juu ya hatua za kuchukua kwa wabunge walioko katika kamati zinazotuhumiwa kupokea rushwa .
PUMA energy ni kampuni inayomilikiwa na kiongozi mmoja aliyeko serikalini (si kiongozi mdogo) akishirikiana na wenzake 3 wenye hisa katika kampuni hiyo. na si kweli kwamba Serikali ina hisa asilimia 50!!!.
Nitaishia hapa leo na nitasubiri iwapo spika makinda atayatekeleza maagizo yaliyokwenda kwake...
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe
Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu
Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

Kama amechukua ni lazima atajwe ya nini kumficha? Rais gani ankula rushwa kabla hata ya kugombea? Ajifunze kwa Mr. Clean Dr Slaa.kwani ni lazima zitto atajwe hata kama hayumo.
Alaaa! kumbe ni Zitto alowauzia Tanesco matairi yasiyokuwa na kiwango?...Hivi imetajwa wapi hii naomba link niisome..Zitto aliwauzia matairi yasiyo na kiwango lakini si Rusha ndio maana hakutajwa kwa wala rushwa yeye anatuhuma nyingine ya kuuza matairi ya kichina TANESCO,jamani tutofautishe tuhuma.
Kama yumo sasa itakuwa zamu yake kutajwa. Na ikithibitika aachie ngazi ili kuonyesha yuko objective.Akamtaja Mkullo!!