Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

Huyo MUNDE TAMBWE kwa rushwa ni balaa,alikuwa cashier pale halmashauri tabora mjini,walitaf una pesa na mama mmoja mkurugenzi mpaka wakasimamishwa kazi.baadae walikuja wakajisafisha kwa rushwa ya pesa na ngono takukuru wakawasamee.shaidi ambae alikuwa atoe ushahid dhidi yao,alilambwa risasi siku moja kabla ya kupanda kizimbani.huyo ndie munde tamwe chezea toto la kinyamwezi weye.
 
Binafsi naona kama Lissu amefanya haraka sana kuwataja. Asubiria kwanza aone kama mama Makinda wangewataja ili kama angepiga kimya yeye ndo angewataja hapo ingeleta maana zaidi, lakini kwa sasa mimi naona kama anataka kutengeneza mazingira ya kuwaficha wa upinzani wenzie ili baadae wakitajwa na Spika waanze kuleta ubishi usio na kichwa.
hasa ZITTO ZUBERI KABWE RAIS WA KIGOMA
 
...tumia akili kidogo basi, huyu kamanda kataja walio ktk kamati ya madini, na ZK hayumo humo. Ila nitashangaa kama wakiangalia kamati zote basi hata yule aliyomba mahela sijui Barrick ina maana itabidi arudishe shangingi la uwaziri na posho maana nae alizikomba pia ! Duh, yaani udhaifu wa Dhaufu unazidi kukua kila siku.
 
Kwani Zitto yuko kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini pia?
Chief whip wa CCM naye ataje wa Chadema!!

Willium Vangimembe Lukuvi.Hahaaaaaaaaaaaa Huyu Hawezi atautoa wapi ushahidi?Lakini Bro. Zitto kiukweli imefika mahali aache kukurupuka.Hivi kweli Jembe haliujui Mkataba wa IPTL kumruhusu PS kufanya Purchases on their behalf?Kweli? Hii ya Kusema wewe Muadilifu tuachie sie washabiki Mkuu,We Piga Boli tu Kama ukifunga goli kwa Tik-Tak sie ndio wa kushangilia usiseme oyaaa ina maana hamuoni vitu vyangu,hapana tutaona sisi wenyewe!!!Ramadhan Kareem Ustaadh naona wanakuharibia Swaumu kwelikweli magamba:lalala:
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

Kiongozi, hapo kwenye red pana viashiria kwamba nawewe siyo objective kwa sababu umehitimisha subjectivity ya Lissu kabla hujamuuliza sababu za kutomtaja Zitto.

Ipo haja tumuulize kwanza Lissu sababu za msingi za kutomtaja Zitto, tuzipime sababu hizo kisha tuone mashiko yake halafu tumlaumu au kumsifia.
 
ZITO is smart bwana,hawezi chukua vijisent hivyo ilihali anajiamini.bravo zito,jembe langu
 
NIWAAMBIE WANABODI!
ni kuwa ccm imetegwa na Lisu, nayo itaingia kichwa kichwa! Kutajwa majina ya wabunge wala rushwa na kukutikana ni ya wabunge wa ccm kunaifanya ccm ianze kujitetea kama chama kwa kuwatetea wabunge wake na hivyo kitajikuta kinajipaka matope zaidi. Subirini muone mziki.
 
Tuvute subira kidogo, ndio utaona tofauti!!!

Binafsi naamini kuna tofauti kubwa sana, tena far away kati ya spika makinda na ex spika samwel sitta in terms of uwezo wa kuongoza bunge na mijadala ya bunge.
Lakini when it comes to maslahi ya ccm, they all acts alike. Anyway ngoja tuendelee kuiangalia hii sinema huenda nikaiona hiyo tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
waswahli wanasema lisemwalo lipo na kama halipo laja...sasa hii ishu ya zitto na kilango kutanjwa sijashangaa....na kama watakanusha basi kuna walakini kwann watajwe??
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

WEWE UNALAZIMISHA HOJA AU UNAREPORT TUKIO?? TULIA WEWe
 
ZZK hayumo katika kamati ya nishati na madini sasa anaingiaje kwenye hiyo kashfa? Zitto ni msafi katika hili sema kutetea kwake taratibu zilizotumika kumsimamisha kazi Mhando na wenzake kunamletea shida! Ukweli ni kwamba lazima taratibu zifuate bila hivyo atatokea waziri kakataliwa kupewa pesa na shirika fulani ambalo liko chini yake na anaamua kuunda zengwe bila hoja na kuilazimisha bodi kufanya maamuzi kwa matakwa ya waziri! hilo ndilo analopigania Zitto japokuwa sitaki kumuwekea maneno mdomoni.
 
The thing is; anayeona ana ushahidi kuwa Zitto amehusika na upokeaji wa rushwa, na kwamba anaweza kusimama mahakamani kutetea hoja yake, basi atokeze hadharani na kumtaja Zitto.
Tusiongee kwa mahaba ya vyama.
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe

Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu

Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.

Na ww unalalamika vi2 vya ajabu!
Mhe.Zitto hayupo kwenye Kamati ya Nishati na Madini... Waliotajwa ni wajumbe wa Kamati ya Nishati na madini. Wala sioni point hapa.
 
naangalia tbc1 sasa hivi,namwona Adeni Rage mbunge wa tabora mjini anaomba mwongozo kwa naibu spika,kwanini Lisu amewataja wabunge wa ccm bila kuwataja wa cdm?Ndugai amesema atalitolea ufafanuzi baadae,stay tuned

Kana mosagane nke okoghanya otagosalwa?

Sasa naibu spika atatoa mwongozo gani hapo? kwamba amruhusu al shabab rage naye awataje wala rushwa toka upinzani? anao ushahidi? anazo guts? je yeye mwenyewe ni msafi kiasi cha kuwanyooshea kidole wenzake? tunakumbuka al shabab rage alishatiwa hatiani na kufungwa na mahakama kwa wizi wa mali ya umma, ni bahati mbaya tu kwamba kwa utawala wa chama na serikali yake hii dhaifu ameweza kupata nafasi ya kuwa mbunge.
 
Last edited by a moderator:
Huyo MUNDE TAMBWE kwa rushwa ni balaa,alikuwa cashier pale halmashauri tabora mjini,walitaf una pesa na mama mmoja mkurugenzi mpaka wakasimamishwa kazi.baadae walikuja wakajisafisha kwa rushwa ya pesa na ngono takukuru wakawasamee.shaidi ambae alikuwa atoe ushahid dhidi yao,alilambwa risasi siku moja kabla ya kupanda kizimbani.huyo ndie munde tamwe chezea toto la kinyamwezi weye.

Mwalimu Nyerere akifufuka leo tarehe 30 July 2012.... atapigwa na mshangao.....!!!! Atarudi haraka.... alikotoka.... juhudi zake zote za kujenga nchi ya Tanganyika zina-fall apart..... ngoja tusubiri.... maana tumeomba.... hatujibiwi..... This country is " a task master'... its a curse of Egypt....!!!!
 
Nasir na Mwijage ni watumishi wa zamani wa TPDC. Ni watu ambao walikua ktk kamati sahihi kutokana na weledi ktk sekta ya gesi na petroli. Kama kweli walipewa pesa,kuna siku ukweli utajulikana.
 
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.

kwani zito yupo kamati ya nishati na madini?au mmetumwa kuleflect mambo ili kuweamunipulate watu with non sense consipirancy?

Similar Discussions

Back
Top Bottom