OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 428
Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lisu amefanya conference mjini Dodoma leo mchana amewataja wabunge wafuatao kuwa ndio vinara wa rushwa kamati ya nishati na madini.
I.Munde Tambwe
2.Sara msafiri
3.Mwijage
4.Nasir mbunge wa korogwe
Cha kushangaza lisu ameshindwa kumtaja zito kabwe kwa sababu zisizofahamika,nimeamini jamaa sio objective,ikumbukwe katibu mkuu Maswi amtaje Zitto ,Lisu anaficha ukweli for which reason mwizi ni mwizi tu
Tundu Lisu angefanya la maana kama angemtaja na zito kuliko kuwataja wabunge wa CCM tu.