johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,617
- 142,959
Nakumbuka Wakati wa kampeni za Uchaguzi mkuu 2020 Mgombea uRais wa JMT Shujaa Magufuli akiwa Singida alimuomba Tundu Lissu aachane na Ndoto za Urais kwani kuna Kazi alikuwa amemuandalia
Wengi walitafsiri Kazi Hiyo kama awe Attorney General lakini Tundu Lissu akigoma kuunga Juhudi
Sasa mapungufu tunayoyashuhudia sasa kwa Wanasheria wa Serikali ni wazi angekuwepo nguli wa sheria East Africa mh Antipas kama AG pale Juu ni wazi mambo yangekuwa tofauti kabisa
Lakini bado hatujachelewa anaweza kuteuliwa
Mungu ni mwema Wakati wote!