Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,891
- 155,895
Rais wa awamu ya tatu, Rais Msomi kuliko Rais yeyote nchini, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa, alichemsha kwa Tundu Lissu, akabambikiwa kesi nyingi sana, akazipangua zote. Sababu ilikuwa Tundu Lissu kutetea haki za wanavijiji wanaozunguka maeneo ya Bulyanghulu, ambao wapo waliotendewa dhuluma ya maisha yao kwa kukataa kuhama kwenye maeneo yao kuwapisha wawekezaji. Tundu Lissu kipindi hicho hakuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa.
(I'm sorry to say this, ndani ya CCM hamna mtu mwenye uwezo, kaliba na udiriki wa Tundu Lissu)
Ilipoingia awamu ya nne ya Daktari wa Filosofia, ndugu Jakaya Mwisho Kikwete, mwanadiplomasia mbobevu, mwanajeshi aliyetembea kwa Miguu kutoka Monduli hadi Arusha kukanusuru karoho kake kadogo, alikutana na muziki wa Tundu Lissu, na anamjua vyema.
Kikwete alisema CHADEMA kuna mtu mmoja tu wa kumu watch throughout. Naye si mwingine, ile ni yule, King of the Kings, Tundu Lissu.
Alipoingia Magufuli, na aibu ikaingia nchini. Tundu Lissu akapigwa risasi za kutosha. Akapewa kesi za kutosha. Alipopigwa risasi makanisani tukakatazwa tusimuombee apone haraka. Magu hakuyapenda maombi ya kumuombea Tundu Lissu, walio print ma T Shirt ya kumuombea mshikaji waliishia jela a.k.a mbaroni au waweza ita korokoroni.
Utawala wa Magufuli ukahusishwa na tukio la shambulio la kaka Tundu Lissu. Hapa JF yaliandikwa mengi na mawili wengi.
Mshana Jr, aliandika yake, kaka yangu Nsumba Ntale Pascal Mayalla akaandika yake. Nyani Ngabu akaàndika waraka wake wa Ikungulyabashashi.
Hamna aliyependa yaliyomtokea Tundu Lissu utawala wa Mkatoliki Yohana.