Asante kwa tusi lako! Mimi sijasoma lakini nina busara kuliko wewe. Pia nina imani naijua computer zaidi yako. Nimezoea majibu yenu CDM naona na wewe unafaa kuimba mipasho. Jiandae kugombea ubunge ukaongeze mipasho bungeni
CDM = Chama Daima Mipasho
Wakuti, ningeomba uwe makini,unapopewa taarifa uweke hapa JF ili watu wengine wajifunze/habarike, basi ni vema ukasoma ulichopewa na kujiridhisha ni cha kweli kabla ya kufanya kama ulivyoelekezwa.
Hapo kwenye red: Hakuna cham cha siasa cheny hilo jina. Nenda ofisi ya msajili wa vyama vya siasa upitie tena orodha ya majina ya vyama. Ni ushauri tu.