Tundu Lissu afunguka bungeni

Elam

Member
May 19, 2009
49
10
Mchekini Mh. Tindu Lissu anavyo kandamiza Magamba Bungeni now...

Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?

Amesema mengi ila hili limenigusa zaidi;

- majaji waliopo ni wazee, wanaingia kwa kujuana zaidi na hawana vigezo vya kuwepo kwenye nafasi zao.....

Ndugai aponda na kuwapa mda Kambi rasmi ya Upinzani na kuwapa mda mpk jioni warekebishe kipengele hcho au walete adendum ya kurekebisha tamko hlo......

Binafsi sioni uvunjifu wowote wa maadili katika hlo kwn ni ukweli ulio wazi......... sna sna naona propaganda znaendelea bungeni.
 
Toa angalau dondoo kidogo basi ili tuweze kuelewa na kukijua anachosema si kila mtu yupo kwenye TV muda huu.unatoa ujumbe kama upo FB?
 
umeme wenyewe hamna na wewe uliyepata nafasi ya kusikia yaliyonenwa na lisu kwann usituwekee japo kidogo?
 
Ananukuu matukio mengi sana hasa rushwa za uchaguzi, Uteuzi wa wakuu wa wilaya na Mikoa ambao woote ni wabunge wa viti maalumu. Lissu anahoji kwa mujibu wa katiba tuliyonayo saa mkuu wa wilaya au mkuu wa Mkoa ni wa mtumishi wa serikali ambayo inapaswa kujibu hoja za wabunge waliopo bungeni, (ieleweke kuwa Bunge ni mhimili tofauti na ule wa serikali) sasa je wabunge waha wa kuteuliwa wanafanya nini bungeni wakati wanapaswa kutekeleza yanayojadiliwa bungeni? Pili; wanapokuwa bungeni wanakuwa wanakosoa serikali hiyohiyo ambayo imewaajiri?

Source ni TBC Bungeni leo..
 
Jamaa huwa anaongea english bungeni'sijui kule iramba wote wanajua english!!!!
 
Amesema mengi ila hili limenigusa zaidi;

- majaji waliopo ni wazee, wanaingia kwa kujuana zaidi na hawana vigezo vya kuwepo kwenye nafasi zao.....

Ndugai aponda na kuwapa mda Kambi rasmi ya Upinzani na kuwapa mda mpk jioni warekebishe kipengele hcho au walete adendum ya kurekebisha tamko hlo......

Binafsi sioni uvunjifu wowote wa maadili katika hlo kwn ni ukweli ulio wazi......... sna sna naona propaganda znaendelea bungeni.

Source: Bunge Live

Nawakilisha.....
 
Hivi wakuu wa mikoa/wilaya ambao pia ni wabunge wanalipwa mishahara yote miwili? Na wanapokuwa bungeni nani anafanya kazi zao mkoani/wilayani? Na kwanini kulundika madaraka kwa mtu mmoja?
 
Hongera Lissu kwa hotuba iliyosheheni,tunaomba hotuba iwekwe humu ili iwafikie wengi zaidi
 
Anamwaga data zipi mkuu? Tujuze mkuu wewe ndio reporter wetu.

Ametaja tuhuma zote za kutekwa na kuteswa kwa Dr. Ulimboka na kuwataja wahusika Msangi, Zocka .... na kurifaa gazeti la Mwanahalisi kuwa hao ndio washukiwa waliohusika na kumtesa Dr. Uli...
 
Lissu namba nyingine,nimemsikiliza mwanzo mwisho,mwenye hotuba aipost humu JF ili iwafikie wengi zaidi
 
Back
Top Bottom